Mbona kama Diamond anatuchezea akili zetu

Mbona kama Diamond anatuchezea akili zetu

hawa UKAWA huwa wanadhani kila mtanzania anawaza kama wao. endeleeni na majungu sie tunazindua ujenzi wa Standard Gauge kesho Jumatano.

Roma katekwa, Roma katekwa, sasa tufanyeje.? Kina Sokoine, Imrani Kombe, Kolimba, Karume Senior walikufa kabisa sembuse Roma kutekwa.

Dr. Ulimboka yupo wapi.? Kuna mtu alitikisa habari kama Ulimboka.? kama hutaki shida we kaa zako kimya, achana na serikali utaumia bure. Mnamuona Diamond mjinga kujikalia kimya.? aache kula bata na warembo wazuri akahangaike kusigana na serikali.? nyie UKAWA vipi, kama la Roma limekuuma sana, si uimbe wimbo na wewe tujue, usimlazimishe Diamond aimbe unachokiwaza wewe.
kuna siku nilisema habari za roma ni kiki nadhani sikueleweka
 
Mnajipa ukubwa Eti akuchezee akili!!
wewe nani!?
Diamond kafikisha ujumbe
hajamtukana mtu wala kumsema mtu vibaya
Hizo chuki zenu zitawapeleka kubaya nini!!
Tunajua mnapenda kutafuta kiki kupitia Kijana huyu
kila mtu akiitaji kutoka lazima Amchokonoe Diamond
sawa
 
Back
Top Bottom