Mbona kama makange yanauzwa bei sana ambayo hailingani na thamani yake

Mbona kama makange yanauzwa bei sana ambayo hailingani na thamani yake

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Unakwenda hotelini unaagiza labda makange nyama unaambiwa eti 15000 wakati pale nyama labda nusu tu na makange yenyewe hakuna cha ziada zaidi tu yamekaangiwa karoti hoho nyanya yaani viungo ambavyo havizidi hata 2000.

Je, hiyo hela nyingine inapanda kwq sababu gani je ni kwa sababu ya jina tu makange.

images.jpeg
 
Unakwenda hotelini unaagiza labda makange nyama unaambiwa eti 15000 wakati pale nyama labda nusu tu na makange yenyewe hakuna cha ziada zaidi tu yamekaangiwa karoti hoho nyanya yaani viungo ambavyo havizidi hata 2000 je hio hela nyingine inapanda kwq sababu gani je ni kwa sababu ya jina tu makange.
Makange ni chakula gani?
 
Kula urojo au Makande ndio bei nafuu kwako au tafuta mtu awe anakununulia.
Sema upo wapi watu wakufadhilli ule Makange daily malipo ni wewe mwenyewe kujiongeza.
 
Hio bei ipo juu sana.
Ila kinachofanya bei kuwa juu ni vitu vingi kwanza hadhi ya hotel/restaurant, viungo vilivyo tumika, na aina ya nyama au samaki pia
 
Usafiri
Muda
Upishi
Kitowewo chenyewe
Gesi,
jumla 15,000tsh
Isitoshe ukijipikia ndio raha
 
Back
Top Bottom