Mbona kama makange yanauzwa bei sana ambayo hailingani na thamani yake

Mbona kama makange yanauzwa bei sana ambayo hailingani na thamani yake

Unakwenda hotelini unaagiza labda makange nyama unaambiwa eti 15000 wakati pale nyama labda nusu tu na makange yenyewe hakuna cha ziada zaidi tu yamekaangiwa karoti hoho nyanya yaani viungo ambavyo havizidi hata 2000.

Je, hiyo hela nyingine inapanda kwq sababu gani je ni kwa sababu ya jina tu makange.

View attachment 3074999
Hayaitwi makange,jina sahihi ni makaange
 
Back
Top Bottom