ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Makange ni chakula gani?Unakwenda hotelini unaagiza labda makange nyama unaambiwa eti 15000 wakati pale nyama labda nusu tu na makange yenyewe hakuna cha ziada zaidi tu yamekaangiwa karoti hoho nyanya yaani viungo ambavyo havizidi hata 2000 je hio hela nyingine inapanda kwq sababu gani je ni kwa sababu ya jina tu makange.
😁😁😁🤣🤣🤣Hapo dawa ni kuagiza nyama yenyewe na karoti na hoho zenyewe uchanganye mwenyewe
Vyakula vya Darisalama hivyoMakange ndio kande au!
Mkate unaotengenezwa kwa karoti , vitunguu na nyanya.Makange ndio kande au!
Nilikua natafuta hii sentensi ya neno Overated. 🙏Kipindi nakisikia hicho chakula na nilivyokiona imekuwa tofauti kabisa...
Kipo Overrated sana
Hata mbichi Ni sawa boss.Hivi makange ya samaki ni lazima samaki awe amekaangwa?