Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
Siku zote nilikua nahisi utakua binti flani hivi mrembo sana anayejipenda, leo umenithibitishia,Uongo, mimi nina Rasta 6 yrs now mbona siyo chafu? Uchafu ni asili ya mtu hizo nywele zinakufaje??π
ππ, Asante sana japo nipo tu kawaida MkuuSiku zote nilikua nahisi utakua binti flani hivi mrembo sana anayejipenda, leo umenithibitishia,
Mdada akiwa na rasta za asili anakua mrembo sana
Dah tutakosana hapo mazee.Kuna watu wakifuga rasta zinawafanya kuwa kama ZOMBIE.
Daz Bab rasta anyoe tu ,rasta kwa mwanamme hazifai.
Sawa mazeeRasta nyingi za wafuga rasta ni chafu
Kuna mstari unasema ,"wanafuga rasta ili wapate mademu wa kuzungu".Dah tutakosana hapo mazee.
Tafadhali sana.
Tembelea kaskazini uone Nini Maana ya rastafarian