GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,867
Kwa mujibu wa GwajimaVyama vya siasa vyote vilikuwa ccm B kwasasa uwepo wa Lissu ccm imepata mpinzani wa kweli.
Halafu ccm inaongozwa na kiongozi mwepesi sana huu mwaka huu ccm byeee🤣
Kuwaamini kwako au kutowaamini hakujawahi kuwa na maana kwao; we endelea kumuamini lissu na tone tone yake.Ingawa nilianza kupiga kura mwaka 2000, lakini sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa.
Ingawa sina Chama, nilikuwa ninafurahia ninapoona ushindani wa kisera kati ya CCM na CHADEMA! Kwa bahati mbaya, mpaka sasa hakuna uhakika wa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa mwaka huu.
Vyama vinavyotajwatajwa kwa sasa ukiacha CHADEMA, ni ACT WAZALENDO na CHAUMA! Lakini mimi nikiviangalia, sioni kama ni vyama vya siasa vibavyotanguliza mbele maslahi ya nchi. Ni kama vile vinafanya maigizo tu ama vinatumiwa na Chama tawala kwa manufaa yake!
Mtu unawezaje kukubali kushiriki uchaguzi ambao unafahamu ni mshindani wako ndiye mwenye uamuzi wa mwisho juu ya matokeo?
Mtu unakubalije kushiriki uchaguzi ambao unaona wazi kabisa kuwa hauna maslahi kwa Taifa? Ubunge na udiwani ni bora kuliko matakwa ya wananchi?
Kuna anayeweza kunishawishi niwaamini akina ZITTO KABWE, JOHN MREMA, SALUM MWALIMU, n.k?
Akaunti ya Chama kwa sasa inasoma billion ngapi vile?Wewe njoo Chauma sasahivi sio wali maharage,sasa ni biriani ya kuku.
Mzee Hashim Rungwe tuvushe mwamba tuvushe😅😂
Sasa mbona wamenipa mwaliko wa kwenda kuishangaa chopa?Kuwaamini kwako au kutowaamini hakujawahi kuwa na maana kwao; we endelea kumuamini lissu na tone tone yake.
Na Lisu pamoja na wenzake walishiriki kikamilifu kumuengua Dr Silaa na kumpokea hayati ENL kisha wakampa ugombea uraisi (kumbuka ni hawahawa Lisu na wenzake akiwemo asiyesahaulika Kubenea walimchafua ENL kama fisadi la mafisadi).Vyama vya siasa vyote vilikuwa ccm B kwasasa uwepo wa Lissu ccm imepata mpinzani wa kweli.
Halafu ccm inaongozwa na kiongozi mwepesi sana huu mwaka huu ccm byeee🤣
Dr Slaa alikuwa anatumika na CCM alipokuja Lowassa aliona siri yake itatoka ndio maana aliamua kuondoka mwenyewe.Na Lisu pamoja na wenzake walishiriki kikamilifu kumuengua Dr Silaa na kumpokea hayati ENL kisha wakampa ugombea uraisi (kumbuka ni hawahawa Lisu na wenzake akiwemo asiyesahaulika Kubenea walimchafua ENL kama fisadi la mafisadi).
Hivi unapata wapi nguvu ya kumwamini mwanasiasa?
Basi, naishia hapaDr Slaa alikuwa anatumika na CCM alipokuja Lowassa aliona siri yake itatoka ndio maana aliamua kuondoka mwenyewe.
Lissu na wenziwe kweli walikuwa wakimkosoa Lowassa lakini tatizo sio Lowassa ni ccm kuwepo madarakani ndio tatizo.
Unaweza ungana na adui yako kwa muda kuondoa tatizo kubwa halafu mkamalizana wenyewe kwa njia mutakayo ijua wenyewe.
Next week Mzee Elikaeli ataachia bank statement😁Akaunti ya Chama kwa sasa inasoma billion ngapi vile?