Ifike hatua nadhani tuachane na kuiongelea Tiss maana ni kama haipo au kama ipo haipo kwa maslahi ya taifa. Wameamua kutumikia matumbo yao na ya mabwana zao yaani viongozi hawa wauaji wasio na huruma hata kidogo kwa wanaowaongoza.Kuna jambo sijaelewa hapa kinachoendelea tanganyika.Naona wanzabari wakianza kurudisha kwao na wengine kuuza mali kwa bei kubwa kwa watanganyika.
Kabla ya uchaguzi alivyoshika madaraka kama kuna ajenda ilikuwa kisiri maana uwekezaji wa wanzanzibari umekuwa wa kuepeleka kwao sio utanganyikani.
Ina maana kuna siku tutajuana uraia sasa maana TISS ilishakufa kipindi nyerere anaweka bakwata.
TISS gani bwani meli imekamatwa tani6 ikilekea nchi x inatoka tzIfike hatua nadhani tuachane na kuiongelea Tiss maana ni kama haipo au kama ipo haipo kwa maslahi ya taifa. Wameamua kutumikia matumbo yao na ya mabwana zao yaani viongozi hawa wauaji wasio na huruma hata kidogo kwa wanaowaongoza.
Hatuna Tiss wala combo chochote cha kututetea tupambaneni tu kwa mbinu zingine kama ni maombi au maandamano na iwe hivyo.
Tangu walipoanza kuajiri kwa undugu badala ya uwezo TISS ilikufa!!TISS ya sasa haitofautiani sana na Green guard!Tiss ilikua zamani, zama za mazuzu.
Enzi tunaaminishwa tiss ni ya 3 duniani kwa ushushu ππ.
Kuna ticha wa primary ndo alikua anatuoshea akijifanya ni afisa kipenyo.
Nadhani tofauti iliyopo ni majina tu ila watu ni wa ndio haohao wa kule.Tangu walipoanza kuajiri kwa undugu badala ya uwezo TISS ilikufa!!TISS ya sasa haitofautiani sana na Green guard!