Mbona kama wazungu kujichora miili yao ni jambo la kawaida sana kwao?

Mbona kama wazungu kujichora miili yao ni jambo la kawaida sana kwao?

Trainee

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
2,660
Reaction score
3,501
Nimeona kwenye movie nyingi za kileo wengi sana wamejichora miili yao. Nilidhani labda ni maigizo tu wameamua kutokeza kwa staili hiyo lakini nashangaa hata matukio mbalimbali ambayo ni halisi bado nawaona hawa watu wakiwa wamejichora chora miili

Hivi hili jambo lina maana gani kwa wenzetu maana naona kama limetamalaki
 
Tattoo usaidia ngozi zao kujikinga na mbu pamoja na miale ya jua
 
Back
Top Bottom