Mbona kama wikiendi

Wengine tulisha lockdown siku nyingi mkuu.....

Ukisubiri utakarantiniwa.
Maombi yenu wakuu

Leo naenda kukutana na ndugu yangu aliyetokea karantini baada ya kurudi kutoka China mwezi uliopita
 
Hata siyo utani...

Sometimes hata siku kama unasahau hivi leo juma ngapi vile...

Yani dunia imekua haina haraka tena wala pilika pilika...



Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…