Mbona kama Yanga Wana wasiwasi...Watatoboa kweli?

Hali za friends of usm alger
 
Kwema wadau?

Nawaona hapa Yanga,...dizain kama Wana wasiwasi hivi!..ukiwatizama usoni ,nyuso zao kama watu wenye woga, hofu na mashaka....nyuso zimejaa simanzi! ...Nasikia Mayele hachezi leo eti ni kweli?

Watatoboa kweli leo?

Daah tuombe Mungu!!!
Your browser is not able to display this video.
 
Kwema wadau?

Nawaona hapa Yanga,...dizain kama Wana wasiwasi hivi!..ukiwatizama usoni ,nyuso zao kama watu wenye woga, hofu na mashaka....nyuso zimejaa simanzi! ...Nasikia Mayele hachezi leo eti ni kweli?

Watatoboa kweli leo?

Daah tuombe Mungu!!!
Bora ungejiita tu Kipusa, badala ya MzeeKipusa. Maana hututendei kabisa haki sisi wazee wenzako.
 
Kwema wadau?

Nawaona hapa Yanga,...dizain kama Wana wasiwasi hivi!..ukiwatizama usoni ,nyuso zao kama watu wenye woga, hofu na mashaka....nyuso zimejaa simanzi! ...Nasikia Mayele hachezi leo eti ni kweli?

Watatoboa kweli leo?

Daah tuombe Mungu!!!
Bora ungejiita tu Kipusa, badala ya Mzee kipusa. Maana hututendei kabisa haki sisi wazee wenzako.
 
Utawala wa Samia jmetengeneza mataahira wengi, mmojawao wewe
 
Kwema wadau?

Nawaona hapa Yanga,...dizain kama Wana wasiwasi hivi!..ukiwatizama usoni ,nyuso zao kama watu wenye woga, hofu na mashaka....nyuso zimejaa simanzi! ...Nasikia Mayele hachezi leo eti ni kweli?

Watatoboa kweli leo?

Daah tuombe Mungu!!!
mpira umeanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…