Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Mvua + Kuingia Bure = Chaos 😁😁SEMA za Ukweli mvua imeharibu vibe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mvua + Kuingia Bure = Chaos 😁😁SEMA za Ukweli mvua imeharibu vibe
Dalili ya mawingu ni Mvua. Maombi ni muhimu sana
Potea bana....ukikutana na Kalpana anazurura huko mwambie Eve anamsalimiaMi mjukuu wa sheakh Yahya Eva😂
Kwani hakuna majukwaa ya kulipia?Mvua + Kuingia Bure = Chaos 😁😁
Hali za friends of usm algerKwema wadau?
Nawaona hapa Yanga,...dizain kama Wana wasiwasi hivi!..ukiwatizama usoni ,nyuso zao kama watu wenye woga, hofu na mashaka....nyuso zimejaa simanzi! ...Nasikia Mayele hachezi leo eti ni kweli?
Watatoboa kweli leo?
Daah tuombe Mungu!!!
Hacheki na kima....Hali za friends of usm algerView attachment 2638136
Kwema wadau?
Nawaona hapa Yanga,...dizain kama Wana wasiwasi hivi!..ukiwatizama usoni ,nyuso zao kama watu wenye woga, hofu na mashaka....nyuso zimejaa simanzi! ...Nasikia Mayele hachezi leo eti ni kweli?
Watatoboa kweli leo?
Daah tuombe Mungu!!!
Haji hapa nguvu zake ameelekeza kudai katiba mpya🤣🤣🤣He heee,,zimefika utamuona hapa chap!
Bora ungejiita tu Kipusa, badala ya MzeeKipusa. Maana hututendei kabisa haki sisi wazee wenzako.Kwema wadau?
Nawaona hapa Yanga,...dizain kama Wana wasiwasi hivi!..ukiwatizama usoni ,nyuso zao kama watu wenye woga, hofu na mashaka....nyuso zimejaa simanzi! ...Nasikia Mayele hachezi leo eti ni kweli?
Watatoboa kweli leo?
Daah tuombe Mungu!!!
🤣🤣🤣Hizo mambo amuachie Tundu LissuHaji hapa nguvu zake ameelekeza kudai katiba mpya
Bora ungejiita tu Kipusa, badala ya Mzee kipusa. Maana hututendei kabisa haki sisi wazee wenzako.Kwema wadau?
Nawaona hapa Yanga,...dizain kama Wana wasiwasi hivi!..ukiwatizama usoni ,nyuso zao kama watu wenye woga, hofu na mashaka....nyuso zimejaa simanzi! ...Nasikia Mayele hachezi leo eti ni kweli?
Watatoboa kweli leo?
Daah tuombe Mungu!!!
Kwema wadau?
Nawaona hapa Yanga,...dizain kama Wana wasiwasi hivi!..ukiwatizama usoni ,nyuso zao kama watu wenye woga, hofu na mashaka....nyuso zimejaa simanzi! ...Nasikia Mayele hachezi leo eti ni kweli?
Watatoboa kweli leo?
Daah tuombe Mungu!!!
Watakaa wakina Harmonize hayo.. Nani alipie 50kKwani hakuna majukwaa ya kulipia?
🤣🤣🤣🤣Ila wananchi mna mahaba sana timu yenu...hongereniWatakaa wakina Harmonize hayo.. Nani alipie 50k
mpira umeanza?Kwema wadau?
Nawaona hapa Yanga,...dizain kama Wana wasiwasi hivi!..ukiwatizama usoni ,nyuso zao kama watu wenye woga, hofu na mashaka....nyuso zimejaa simanzi! ...Nasikia Mayele hachezi leo eti ni kweli?
Watatoboa kweli leo?
Daah tuombe Mungu!!!
Tayari Yanga wamefungwampira umeanza?