MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
- Thread starter
-
- #41
Uto kama utoKwema wadau?
Nawaona hapa Yanga,...dizain kama Wana wasiwasi hivi!..ukiwatizama usoni ,nyuso zao kama watu wenye woga, hofu na mashaka....nyuso zimejaa simanzi! ...Nasikia Mayele hachezi leo eti ni kweli?
Watatoboa kweli leo?
Daah tuombe Mungu!!!
bado bwana acha hizoYameshaliwa moja 🤣🙏nipo hapa kibanda umiza nayanunulia ambiance yapunguze mawazo🤣🤣🤣
Mapema sanaWameshatobolewa tayari
Stress zimewaponzaNgoma ngumu hii
jamaa Wana stress sanaKwisha habari yao
🤣🤣Tayari nimewanunulia na konyagi kubwa moja wakufwe kabisa🤣🤣🤣bado bwana acha hizo