Mbona kama Yanga Wana wasiwasi...Watatoboa kweli?

Mbona kama Yanga Wana wasiwasi...Watatoboa kweli?

Kwema wadau?

Nawaona hapa Yanga,...dizain kama Wana wasiwasi hivi!..ukiwatizama usoni ,nyuso zao kama watu wenye woga, hofu na mashaka....nyuso zimejaa simanzi! ...Nasikia Mayele hachezi leo eti ni kweli?

Watatoboa kweli leo?

Daah tuombe Mungu!!!
Uto kama uto
 
Yameshaliwa moja 🤣🙏nipo hapa kibanda umiza nayanunulia ambiance yapunguze mawazo🤣🤣🤣
 
Next time....watuajiri watu tuliosomea OB ( Organization Behavior ) tuwashauri.

We can see things before they happen. Hatubahatishagi
 
Wananchi bhana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom