cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,448
- 7,972
Mataifa makubwa kama Uingereza na Marekani wagombea huwa wanatumia lugha kali kwa wagombea wenzao na nyie ni mashahidi Joe Biden huwa anatumia lugha kali kwa Trump, mashambulizi ni kwa mtu na mtu lakini huku kwetu kila dakika CCM na watu wao wanasema tueleze sera badala ya kuongelea mambo ya watu.
Mataifa haya yamepiga hatua katika kila nyanja ya kimaisha kwa sababu hakuna mtu anayeogopa mtu mwingine licha ya kuwa una vifaru na mabomu
Nchi zinazoendelea tuache unafiki, mtu akibugi tumweleze hapo kwa papo.
Afrika na nchi nyingine tukiogopa kuwashambulia viongozi wetu hadharani tutavuna mabua.