Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mtumishi na kura yangu na familia yangu na ukoo wangu ni kwa John Pombe MagufuliWatumishi wote na familia zao kura kwa lissu
Majina huumba.Kwani kila wanachofanya marekani ni sahihi na kinapaswa kuigwa?
Our Culture is not their Culture and their culture should never be ours
Kwanini iwe kwa Lissu na si kwa Hashimu Rungwe au mwengine ?Watumishi wote na familia zao kura kwa lissu
Wananchi hawajui wanachokitaka na ndio maana unaweza kukuta wana mbunge mmoja zaidi ya miaka 20 na hakuna maendeleo yeyote ila bado wanamchagua tu.Hii yote ni kwanini?
Vipaumbele vya watawala sio Vipaumbele vya wananchi.
Ndio maana sasa maccm wakiongozwa na Meko wanafoka jukwaani. Wananchi wanataka maji unanunua ndege, wao wanataka hospitali unajenga flaiova, wao wanataka shule unajenga SGR fupi.
Vipaumbele vya watawala sio Vipaumbele vya wananchi.
Maccm badilikeni
Kwani kazi ya mbunge ni kuleta maendeleo ?Wananchi hawajui wanachokitaka na ndio maana unaweza kukuta wana mbunge mmoja zaidi ya miaka 20 na hakuna maendeleo yeyote ila bado wanamchagua tu.
Kimbunga kimepita ni Lissu vs MaguKwanini iwe kwa Lissu na si kwa Hashimu Rungwe au mwengine ?
Tanzania tumekula matango poli yaliyo zalisha unafiki 'Hapa ni kusifu'Mataifa makubwa kama Uingereza na Marekani wagombea huwa wanatumia lugha kali kwa wagombea wenzao na nyie ni mashahidi Joe Biden huwa anatumia lugha kali kwa Trump, mashambulizi ni kwa mtu na mtu lakini huku kwetu kila dakika CCM na watu wao wanasema tueleze sera badala ya kuongelea mambo ya watu.
Mataifa haya yamepiga hatua katika kila nyanja ya kimaisha kwa sababu hakuna mtu anayeogopa mtu mwingine licha ya kuwa una vifaru na mabomu
Nchi zinazoendelea tuache unafiki, mtu akibugi tumweleze hapo kwa papo.
Afrika na nchi nyingine tukiogopa kuwashambulia viongozi wetu hadharani tutavuna mabua.
Sawa mbunge sio kazi yake kuleta maendeleo nimekuelewa hapo,sasa wewe kama mpiga kura unatumia vigezo gani kuamua kumchagua mbunge wa kwenye jimbo lako? kwanini umchague mgombea fulani na si mwengine?Kwani kazi ya mbunge ni kuleta maendeleo ?
Kwa kodi ipi anayokusanya ?
Ndio maana huwa mnadanganywa mtajengewa barabara wakati jukumu la kujenga barabara ni la serikali
Kwanini Lissu na si mwengine?Kimbunga kimepita ni Lissu vs Magu
Katika kampeni za nchi hizo ulizozitaja ni kweli huwa kuna personal issues na personality victimization tofauti na huku kwetu. Hii inaweza kuelezeka kwa sababu mbili tu, kwa sasa. Moja ni kwamba sisi bado tuna USTAARABU wetu tofauti na wao. Huko wana maendeleo karibu katika kila eneo, ila kwenye ustaarabu ni ZERO. Kwa sababu hiyo ndiyo maana wanashabikia na kutetea mambo ya hovyo hovyo kama ushoga, uzenge, usagaji n.k. Ingawa kuna akina Lissu wanaunga mkono UCHAFU huo.Mataifa makubwa kama Uingereza na Marekani wagombea huwa wanatumia lugha kali kwa wagombea wenzao na nyie ni mashahidi Joe Biden huwa anatumia lugha kali kwa Trump, mashambulizi ni kwa mtu na mtu lakini huku kwetu kila dakika CCM na watu wao wanasema tueleze sera badala ya kuongelea mambo ya watu.
Mataifa haya yamepiga hatua katika kila nyanja ya kimaisha kwa sababu hakuna mtu anayeogopa mtu mwingine licha ya kuwa una vifaru na mabomu
Nchi zinazoendelea tuache unafiki, mtu akibugi tumweleze hapo kwa papo.
Afrika na nchi nyingine tukiogopa kuwashambulia viongozi wetu hadharani tutavuna mabua.
Kwa hiyo nyie na Chaggadema ni waumini wakubwa wa Matusi na ushoga.Mataifa makubwa kama Uingereza na Marekani wagombea huwa wanatumia lugha kali kwa wagombea wenzao na nyie ni mashahidi Joe Biden huwa anatumia lugha kali kwa Trump, mashambulizi ni kwa mtu na mtu lakini huku kwetu kila dakika CCM na watu wao wanasema tueleze sera badala ya kuongelea mambo ya watu.
Mataifa haya yamepiga hatua katika kila nyanja ya kimaisha kwa sababu hakuna mtu anayeogopa mtu mwingine licha ya kuwa una vifaru na mabomu
Nchi zinazoendelea tuache unafiki, mtu akibugi tumweleze hapo kwa papo.
Afrika na nchi nyingine tukiogopa kuwashambulia viongozi wetu hadharani tutavuna mabua.
Kwa hiyo hata ushoga tuukubali kwa kuwa ni mataifa makubwa ndo yamekubali?Mataifa makubwa kama Uingereza na Marekani wagombea huwa wanatumia lugha kali kwa wagombea wenzao na nyie ni mashahidi Joe Biden huwa anatumia lugha kali kwa Trump, mashambulizi ni kwa mtu na mtu lakini huku kwetu kila dakika CCM na watu wao wanasema tueleze sera badala ya kuongelea mambo ya watu.