Ndo maana mitaala za shule za Tanzania wanafundishwa kuhusu historia na maendeleo ya Marekani na Uingereza
[/QU
Hii kitu inakera Sana na hovyo Sana sijui tunakwama wapi? Yani unasoma mambo ya hovyo hovyo tuu yasiyo na msaada wowote
Hivi kwa mawe haya ya Lissu huyu Jiwe hatazimia?Hawana point hao. Ukisikia hivyo, jua kuwa sindano imeingia sehemu yake. Eti utakishindaje chama tawala bila kukiongelea? It is just impossible. CCM yenyewe ambayo iko madarakani inaingelea CHADEMA ambayo haijawahi kuingia Ikulu ya Tanzania.
Kuna kipindi ulishikia bango suala la covid 19 kidogo nikuamini, kumbe ni mtumishi wa mabeberu.
Mfumo wa chama cha siasa sio utamaduni wetu achilia mbali mfumo wa vyama vingi!Sisi tuliongozwa na machief!So hapo huna hoja!Kwani kila wanachofanya marekani ni sahihi na kinapaswa kuigwa?
Our Culture is not their Culture and their culture should never be ours
hata hiyo culture tuna copy kwao,Kwani kila wanachofanya marekani ni sahihi na kinapaswa kuigwa?
Our Culture is not their Culture and their culture should never be ours