GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu
Na huyu yuko kwenye hiyo list!!?
Hao hawaba uzuri wowote labda kwa walio maarufu10 MOST BEAUTIFUL WOMEN IN THE WORLD
1.Bella Hadid 94.35%
2.Beyonce 92.44%
3.Amber Heard 91.85%
4.Ariana Grande 91.81%
5.Taylor Swift 91.64%
6.Kate Moss 91.05%
7.Scarllet Johhansson 90.91%
8.Natalie Portman 90.51%
9.Katy Perry 90.08%
10.Cara Delevingne 89.99%
Kuanzia leo muache Kuwapa hao Wanawake wenu sijui akina Wema, Zari na Hamisa Sifa za ‘ Kipopoma ‘ kuwa ndiyo Warembo pengine kuliko Wanawake wengineo Ulimwenguni. Kwanza kuna wengine hata tu Wadada wa Kazi (House Maids) tulionao humu Majumbani mwetu wanawazidi wao kwa Urembo sema tu hawajapata ‘Platforms ‘ za Wao Kuonekana.
Chanzo Taarifa: Golden Ratio Of Beauty Phi
Wakisema in the world wanakosea. Wamechagua wa huko majuu tu. Hawajaangalia wa bara la Africa au even Asia. Huyo Bella hadid mbona namuona wa kawaida tu.
Ripoti ya kibeberu hatujaikubali sisi kama waafrica10 MOST BEAUTIFUL WOMEN IN THE WORLD