Mbona katika Kikosi hiki cha dunia hawa akina Wema, Zari na Hamisa mnaosema ni Warembo sana hawapo?

Mbona katika Kikosi hiki cha dunia hawa akina Wema, Zari na Hamisa mnaosema ni Warembo sana hawapo?

10 MOST BEAUTIFUL WOMEN IN THE WORLD

1.Bella Hadid 94.35%
2.Beyonce 92.44%
3.Amber Heard 91.85%
4.Ariana Grande 91.81%
5.Taylor Swift 91.64%
6.Kate Moss 91.05%
7.Scarllet Johhansson 90.91%
8.Natalie Portman 90.51%
9.Katy Perry 90.08%
10.Cara Delevingne 89.99%

Kuanzia leo muache Kuwapa hao Wanawake wenu sijui akina Wema, Zari na Hamisa Sifa za ‘ Kipopoma ‘ kuwa ndiyo Warembo pengine kuliko Wanawake wengineo Ulimwenguni. Kwanza kuna wengine hata tu Wadada wa Kazi (House Maids) tulionao humu Majumbani mwetu wanawazidi wao kwa Urembo sema tu hawajapata ‘Platforms ‘ za Wao Kuonekana.

Chanzo Taarifa: Golden Ratio Of Beauty Phi
Fact is nowadays money is the only subject,....if you are not talking money whatever you say is irrelevant
 
Hao waliyopo kwenye hiyo Top 10 ni pamoja na money talks...

Hawa wa huku kwetu unajua mwenyewe...


Cc: mahondaw
 
Kwenye hiyo list wote ni wamarekani, sasa unataka kuniambia warembo wapo huko tu?
 
Kama unawaonea wivu kina wema kuitwa warembo na wewe ujiweke namba 11 kisha ugombee umiss popoma
 
Ila mwanamke mwenye asili ya Africa ni mzuri kwa mtazamo wangu wanafata wa Latin America na wa Asia huko kwengine sijaelewa bado.
 
Back
Top Bottom