Mbona katika Kikosi hiki cha dunia hawa akina Wema, Zari na Hamisa mnaosema ni Warembo sana hawapo?

Fact is nowadays money is the only subject,....if you are not talking money whatever you say is irrelevant
 
Wote hao usikute hamna hata mmoja mwenye chura inayoeleweka
 
Hao waliyopo kwenye hiyo Top 10 ni pamoja na money talks...

Hawa wa huku kwetu unajua mwenyewe...


Cc: mahondaw
 
Kwenye hiyo list wote ni wamarekani, sasa unataka kuniambia warembo wapo huko tu?
 
Kama unawaonea wivu kina wema kuitwa warembo na wewe ujiweke namba 11 kisha ugombee umiss popoma
 
Ila mwanamke mwenye asili ya Africa ni mzuri kwa mtazamo wangu wanafata wa Latin America na wa Asia huko kwengine sijaelewa bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…