BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Raial Odinga amkeuwa kiongozi wa chama chake miaka na miaka na hadi juzi kamkabidhi Gava wa Kisumu ili aongoze ODM kwa sababu yeye anagomvania cgeo kule AU, kumbuka cheo cha Raial hakigombaniwi hakipigiwi kura. Sasa sipati picha ingekuwa ndio Tanzania.
Sasa basi Raial mbali ya kuwa kwenye Serikali ya Kibaki kama Waziri mkuu na baadae alijiondoa, Raial pia amewahi muunga mkono Uhru Kenyata kwenye ile Handshacke yao.
Raial huyo huyo kwa sasa anamuunga mkono Ruto tena hizo zote hakuna tatizo kwa wana ODM kabisa na spirit yao iko pale pale. hawajapoteza Ideology yao.
Sababu ni kwamba wanatambua mchango wa Rail kupigania Democrasia Kenya, Ila pia wanaamini kwenye Ideology zaidi, hawana tatizo na kuwepo pale ODM miaka na miaka ila wanacho angalia ni mchango wake kwenye Democrasia ya Kenya. Raial amepigania Democrasi kwa jasho na Damu pale Kenya.
Tanzania sasa kwa sababu hatuna mwamko, raia ni mazezeta,tunajificha kwenye vivuli vya mtu. Wakenya wanaamini kwenye itikadi zaid zaidili kuliko mtu.
Kenya sio Rail pekee anaweza pool out watu kwenye maadamano. Kenya hata Kiongozi wa Seriali ya wanafunzi anaweza pool watu.
Sasa Wabongo sisi tunaamini kwenye watu mmoja mmoja.
Hata siku moja hatuwezi fikia robo ya Spirit walio nayo wakenya kwenye Siasa, yaai robo hatuwezi ifikia.
Wakenya ni Born fighters, spirt yao sio ya kupandikizwa ni natural kabisa na pure.
Mitandaoni tumejaa na swagwa za Lisu hafai, Mbowe anafaa,, Lisu anafaa na Mbowe hafai, Hii ni kwa sababu tunaaminu kwenye watu na hatuna spirt ya upambanaji.