Mbona kila kitu haraka, kuna nini Simba?

Watu wanajificha kwenye soka kumbe nyuma kuna dili chafu kinoma.

All in all Muhami sio Simba na makosa yake sio ya Simba. Amehusishwa na simba kama mfanyakazi tu ingawa haikua vrma kumkana.
 
CEO ameona aibu baada ya watu kuhoji kwanini club kubwa Afrika inakuwa na makocha vibarua/day worker.
Kocha mkuu day worker, kocha wa makipa naye day worker na muuza unga.

Kwani unga nayo si biashara afu ndo inaingiza hela nyingi kuliko biashara yoyote so hakuna shida hapo
 
Wewe punguani hao punda huwa hawataji waajiri wao bora wafe wamekula kiapo

Ila punda wengi km uyo kocha wa simba wapo kunyea ndoo
Una ushahidi? Au kelele tu
Magu na umafia wote ule alishindwa kumfunga hata mmoja aliemtuhumu, zile zilikua kiki tu.
 
Wewe punguani hao punda huwa hawataji waajiri wao bora wafe wamekula kiapo

Ila punda wengi km uyo kocha wa simba wapo kunyea ndoo
Wacha we, kumbe manji nae alikua punda? [emoji23][emoji23][emoji23]

Wanawataja sana tu na wanakamatwa sema wanahonga ela ndefu na wengi wao hawaishi hapa tz wale wasambazi wakubwa, kawadanganye wajinga wenzio...
 
Mfuate uyo manji mwombe uwe punda wake
Wacha we, kumbe manji nae alikua punda? [emoji23][emoji23][emoji23]

Wanawataja sana tu na wanakamatwa sema wanahonga ela ndefu na wengi wao hawaishi hapa tz wale wasambazi wakubwa, kawadanganye wajinga wenzio...
 
Kocha kakanwa kabla jogoo hajawika. Mwingine kateuliwa kabla giza halijaingia, hili linaleta sintofahamu kuhusu hii skenfldo ya madawa ya kulevya. Serikali ichunguze kwa makini sana kuna shida mahala.

Panapofuka moshi tupawahi mapema kabla moto hujawaka kuokoa timu yetu.

Nachukia kuitwa Ngada FC, Yanga mtulie kidogo wakati huu tunapomtafuta huyu nyoka ndani na kusafisha jina letu.
Kila kitu kiko sawa mkuu na brand kubwa barani Africa na duniani kote iko salama kabisa!
 
Kocha kakanwa kabla jogoo hajawika. Mwingine kateuliwa kabla giza halijaingia, hili linaleta sintofahamu kuhusu hii skenfldo ya madawa ya kulevya. Serikali ichunguze kwa makini sana kuna shida mahala.

Panapofuka moshi tupawahi mapema kabla moto hujawaka kuokoa timu yetu.

Nachukia kuitwa Ngada FC, Yanga mtulie kidogo wakati huu tunapomtafuta huyu nyoka ndani na kusafisha jina letu.
We utopolo tu acha kuvunga...
 
Kumkana mtu kwa sababu amepatwa matatizo ni michezo ya kitoto.

1. Unaposema hakuwa mwajiriwa, je nani alikua kocha wa makipa kwa muda wote ambao kblabu imecheza mechi za kitaifa na kimataifa?

2. Unaposema alikua na mkataba wa mwezi mmoja tu, mbona tumemuona kwenye klabu kwa zaidi ya mwezi mmoja? Hiyo miezi mingine alikua anauza Ice cream au?

3. Halafu mbona hamsemi huo mkataba wa mwezi mmoja ulianza lini na kumalizika lini?

4. Na alipomaliza mkataba, klabu ilitoa taarifa yoyote kwa umma?

5. Ni aibu timu kubwa kama Simba kukiri kwamba ilikua na kocha Vodafasta. Ni aibu zaidi kumtangaza kocha mpya wa makipa masaa matatu baada ya Mharami kukamatwa? Kwanini Kocha mpya atangazwe leo na sio jana au juzi?

6. TFF mjitathmini kwa hili. Kazi yenu sio kupanga ratiba ya ligi na kumfungia Manara. Ni kusimamia maendeleo ya soka. Mnaruhusuje klabu inayoshiriki mashindano ya kimataifa kuwa na Kocha wa mwezi mmoja? Hata housegirl hapewi mkataba wa mwezi mmoja siku hizi. Imekuaje kwa Mharami? Mikataba ya wachezaji na makocha inakua reviewed na TFF. Kwahiyo mlireview huu wa mwezi mmoja na mkapitisha?

7. Simba kumkana Muharami kunatoa tafsiri gani kwa Mgunda? Je na yeye akipata matatizo tutamkana kwamba hajawahi kuwa kocha wetu? Au tutasema tulimuazima kwa mkataba wa miezi miwili ambayo ilishaisha?

8. Hakuna dhambi yoyote kukiri kwamba Muharami alikua Kocha wetu wa makipa. Na kukiri hivyo haifanyi makosa yake yawe makosa ya klabu. Muharami amekamatwa katika shughuli zake binafsi, sio shughuli za kblabu. Kwahiyo hata kama tungekubali kwamba alikua kocha wetu, haifanyi tuhuma zake kuwa tuhuma za klabu.

9. Pia viongozi wakumbuke kwamba hizi ni tuhuma tu, ambazo hazijulikani kama ni za kweli au uongo, hadi pale Mahakama itakapothibitisha pasi na shaka (beyond reasonable doubts). Tumekimbilia haraka kujisafisha kana kwamba Muharami ameshakutwa na hatia na amehukumiwa. Je ikiwa mahakama itamwondolea hatia na kusema tuhuma zake si za kweli, tutaambia nini watu?

10. Kujisafisha kwa kumkana Mharami ni kujichafua zaidi. Na kukubali kuwa alikua kocha wetu, hakufanyi tuhuma zake kuwa tuhuma za klabu. Pigia mstari.!
4: kama unakumbuka ishu ya mwinyi zahera na kuhojiwa na kumsema shaban djuma kuwa kibonge na mambo kadhaa kadhaa
Baadae utopolo wakaja wakakanusha mkataba wake pale utopoloni uliisha mapema na yale ni mawazo yake binafsi baada ya kumwaga ugali
Kwa klabu z kariakoo ni kawaida sana uhuni mwingi
 
Kocha kakanwa kabla jogoo hajawika. Mwingine kateuliwa kabla giza halijaingia, hili linaleta sintofahamu kuhusu hii skenfldo ya madawa ya kulevya. Serikali ichunguze kwa makini sana kuna shida mahala.

Panapofuka moshi tupawahi mapema kabla moto hujawaka kuokoa timu yetu.

Nachukia kuitwa Ngada FC, Yanga mtulie kidogo wakati huu tunapomtafuta huyu nyoka ndani na kusafisha jina letu.
Si Bora madawa kazi ya kiume kabwili alivyokuta anapelekewa moto na mukoko chooni mlichukua hatua gani
 
Kumkana mtu kwa sababu amepatwa matatizo ni michezo ya kitoto.

1. Unaposema hakuwa mwajiriwa, je nani alikua kocha wa makipa kwa muda wote ambao kblabu imecheza mechi za kitaifa na kimataifa?

2. Unaposema alikua na mkataba wa mwezi mmoja tu, mbona tumemuona kwenye klabu kwa zaidi ya mwezi mmoja? Hiyo miezi mingine alikua anauza Ice cream au?

3. Halafu mbona hamsemi huo mkataba wa mwezi mmoja ulianza lini na kumalizika lini?

4. Na alipomaliza mkataba, klabu ilitoa taarifa yoyote kwa umma?

5. Ni aibu timu kubwa kama Simba kukiri kwamba ilikua na kocha Vodafasta. Ni aibu zaidi kumtangaza kocha mpya wa makipa masaa matatu baada ya Mharami kukamatwa? Kwanini Kocha mpya atangazwe leo na sio jana au juzi?

6. TFF mjitathmini kwa hili. Kazi yenu sio kupanga ratiba ya ligi na kumfungia Manara. Ni kusimamia maendeleo ya soka. Mnaruhusuje klabu inayoshiriki mashindano ya kimataifa kuwa na Kocha wa mwezi mmoja? Hata housegirl hapewi mkataba wa mwezi mmoja siku hizi. Imekuaje kwa Mharami? Mikataba ya wachezaji na makocha inakua reviewed na TFF. Kwahiyo mlireview huu wa mwezi mmoja na mkapitisha?

7. Simba kumkana Muharami kunatoa tafsiri gani kwa Mgunda? Je na yeye akipata matatizo tutamkana kwamba hajawahi kuwa kocha wetu? Au tutasema tulimuazima kwa mkataba wa miezi miwili ambayo ilishaisha?

8. Hakuna dhambi yoyote kukiri kwamba Muharami alikua Kocha wetu wa makipa. Na kukiri hivyo haifanyi makosa yake yawe makosa ya klabu. Muharami amekamatwa katika shughuli zake binafsi, sio shughuli za kblabu. Kwahiyo hata kama tungekubali kwamba alikua kocha wetu, haifanyi tuhuma zake kuwa tuhuma za klabu.

9. Pia viongozi wakumbuke kwamba hizi ni tuhuma tu, ambazo hazijulikani kama ni za kweli au uongo, hadi pale Mahakama itakapothibitisha pasi na shaka (beyond reasonable doubts). Tumekimbilia haraka kujisafisha kana kwamba Muharami ameshakutwa na hatia na amehukumiwa. Je ikiwa mahakama itamwondolea hatia na kusema tuhuma zake si za kweli, tutaambia nini watu?

10. Kujisafisha kwa kumkana Mharami ni kujichafua zaidi. Na kukubali kuwa alikua kocha wetu, hakufanyi tuhuma zake kuwa tuhuma za klabu. Pigia mstari.!
Mnahangaika kipindi manji anawabebesha kina kamusoko unga mlikaa kimyaa
 
Yupo mwingine ana pua kubwa anajiita big chawa naona walimtuma Dubai, katuma uko mipicha picha nakucheka cheka tu soon wataumbuka yeye na genge lake
Tusiwaombee mambaya mnk serekali hi inamkono mrefu haweZi kushindwa kuwakamata kina baba level ,Wala sizani kuwa kila mweney mafanikioa anafanya biashara haramu siyo kweli
 
Kwa hiyo Manji anakufanya uone NGADA za Simba ni sahihi..!?? KWa hiyo 34.89kg unaona ni sawa na mhadarati uliokutwa kwenye mkojo..!!! Kweli nyie ni mambumbumbu na mnastahili kuitwa NGADA FC
Nashindwa kuelewa mzigo wote Hui ulipita wapi bas Kuna shinda kuanzi ktk viwanja vya ndege na katk bandari hawezeka kilo 34 ipatikane kuna kitu kusayaa
 
Back
Top Bottom