Mbona kila msanii anamlalamikia tu Diamond, Kuna siri gani?

Mbona kila msanii anamlalamikia tu Diamond, Kuna siri gani?

Kitambo walisema Ruge (R.I.P) anawabania , sasa hayupo bado wanalalamika.

Bure Kabisa.
 
Hakuna msanii wa bongofreva maarufu ambae haendi kwa waganga sasa mwenzio akikuzidi jitulize sio kulia lia
 
Kibaya ni kuona dogo amekuja kwenye game wakimuona, alafu leo anakaa high table wao wakikaa getini
 
Back
Top Bottom