V Vertas Kimaro Member Joined Jul 22, 2022 Posts 16 Reaction score 20 Jan 6, 2023 #21 Ni vile hawataki kukubaliana na ukweli kuwa mwamba kakaza na katoboa mpk kawapita na bado anazidi kukaza...
Ni vile hawataki kukubaliana na ukweli kuwa mwamba kakaza na katoboa mpk kawapita na bado anazidi kukaza...
Landrover 109 JF-Expert Member Joined Mar 22, 2019 Posts 384 Reaction score 597 Jan 7, 2023 #22 Wasanii wengi wanaoamini Zaid ushirikina kuliko juhudi na maarifa.
H Hziyech22 JF-Expert Member Joined Jun 8, 2019 Posts 15,351 Reaction score 21,362 Jan 7, 2023 #23 Landrover 109 said: Wasanii wengi wanaoamini Zaid ushirikina kuliko juhudi na maarifa. Click to expand... Absolutely 💯
Landrover 109 said: Wasanii wengi wanaoamini Zaid ushirikina kuliko juhudi na maarifa. Click to expand... Absolutely 💯
Mkendo JF-Expert Member Joined Oct 14, 2013 Posts 3,137 Reaction score 2,233 Jan 7, 2023 #24 Kitambo walisema Ruge (R.I.P) anawabania , sasa hayupo bado wanalalamika. Bure Kabisa.
Sonia G JF-Expert Member Joined Jul 13, 2014 Posts 3,071 Reaction score 3,909 Jan 7, 2023 #25 Mchawi wa mafanikio yao ni wao wenyewe
The only JF-Expert Member Joined May 19, 2011 Posts 10,805 Reaction score 14,181 Jan 18, 2023 #26 Hakuna msanii wa bongofreva maarufu ambae haendi kwa waganga sasa mwenzio akikuzidi jitulize sio kulia lia
Hakuna msanii wa bongofreva maarufu ambae haendi kwa waganga sasa mwenzio akikuzidi jitulize sio kulia lia
shahid365 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2018 Posts 518 Reaction score 420 Jan 19, 2023 #27 prof jay alimlalamikia lini chura bin laden?
fanson JF-Expert Member Joined Dec 16, 2010 Posts 254 Reaction score 153 Jan 19, 2023 #28 Kibaya ni kuona dogo amekuja kwenye game wakimuona, alafu leo anakaa high table wao wakikaa getini
Chumchang Changchum JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 5,988 Reaction score 6,226 Jan 19, 2023 #29 Hata Marehemu Luge walimpitisha kwenye hizo changa moto,