Mbona LADY JAY DEE aka Anaconda hawezi kukatika!!!

Mbona LADY JAY DEE aka Anaconda hawezi kukatika!!!

Status
Not open for further replies.

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
nimeangalia video za nyimbo nyingi sana za mwanamuziki Judith Wambura aka Lady Jay dee lakini sijawahi kuona huyu dada akionyesha manjonjo ya kukatika huku akienda na mapigo!! pia nimebahatika kuhudhuria show zake pale Nyumbani Lounge siku za Ijumaa na jumapili akiwa na bendi yake ya machozi, huyu dada huwa hakatiki kabisa, zaidi ya kutingisha mwili wake, kwanini hataki kukatika au hajui kuzungusha Nyonga??? juzi tena nikiwa Dodoma kwenye mambo ya kiserikali nikamuona tena akitumbuiza bado sijaona mabadililko yoyote ya kuchezesha kiuno huku akienda na mapigo??? huyu dada hajui miziki ya sasa inataka mtu aweze kuzungusha mauno kuvutia wateja na mashabiki??

mbona hata ile mijimama ya taarabu kama kina isha uzungusha nyonga jamani??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom