Mbona leo kimya hamna update za Masanja?

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Yani hizi updates za Jamaa kugongewa na kuchapiwa zinachagamsha jamvi kichiz na kusisimua.

Watanzania tunafurahiiii nakusahau shida zetu.

Naomba tu hili saga liendelee hadi krismas huko watu tuenjoy maumivu ya wengine kwasababu huu mlo mmoja kwa siku wengi tunaupata bila kusindikizwa na umbea tutapata utapiamlo na kufa na njaa.

Please leteni current updates huko Feel Free Church watu tufurahi. Msichoke kutuletea manews shida na matatizo yetu zipungue.

Kuchapiwa na kugongewa inauma nyie acheni tu.
 
Toka skendo itokee hata kanisani kwake wanahubiri wengine tu.
 
Yani hizi updates za Jamaa kugongewa na kuchapiwa zinachagamsha jamvi kichiz na kusisimua.

Watanzania tunafurahiiii nakusahau shida zetu.

Naomba tu hili saga liendelee hadi krismas huko watu tuenjoy maumivu ya wengine kwasababu huu mlo mmoja kwa siku wengi tunaupata bila kusindikizwa na umbea tutapata utapiamlo na kufa na njaa.

Please leteni current updates huko Feel Free Church watu tufurahi. Msichoke kutuletea manews shida na matatizo yetu zipungue.

Kuchapiwa na kugongewa inauma nyie acheni tu.
Hizi hapa:

Kuna mkubwa mmoja namtafunia chombo yake, subiri mambo yakienda kombo!
Hakikisha unatembea na kameraman ili mambo yakienda kombo tupate kavideo kako ka kufanyiwa maumivu pendwa ya wenye shingo ngumu wanaojenga mzinga kwenye wake a watu
 
Back
Top Bottom