Mbona M7 anaifanyia hivi Kenya?

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Juzi tulishuhudia ujumbe mzito kutoka kwa Rais wa Uganda na kuripoti kwa Magufuli moja kwa moja Ikuli

Ikumbukwe ni hivi karibuni tu Rais wa Kenya amekutana na Rais wa Uganda.

Zaidi ya 70% ya mzigo wote wa nje wa bandari ya mombasa unaenda Uganda



 

Attachments

  • D17MEa2X4AAWej0.jpeg
    68.3 KB · Views: 23
Mbona jambo la kawaida saana hilo

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 

Wananchi waliozoea vya bwerere kutoka kwa serikali. Wanaodhani kwamba serikali ndio alpha na omega kwa bidhaa, hawatawahi elewa kwamba mizigo 100% inayopitia Mombasa kwenda Uganda, ni ya wafanyibiashara binafsi, wala sio ya serikali.

Magufuli anaweza kutana na papa mtakatifu mwenyewe, lakini kama mpaka wa Kenya na Uganda umefunguliwa, wafanyibiashara wataendelea kupitisha bidhaa zao Mombasa tu.
Mpaka ile siku geography itaisongeza Dar karibu na Kampala. πŸ˜€πŸ˜€
 
Ss mtoa UZI mbona walichozungumza baina ya raisi na mjumbe wa M7 hakikuwekwa wazi ? We umeweka habari ambayo haikutolewa maelezo ya ndani zaidi walisema wamejadili mambo ya kiabiashara ..lkn kumbuka kqma ni swala la mizigo bandari hapo ni BIG NO ...lzm ukweli usemwe ..wenzetu KE wamewekeza sana ktk bandari yao JAPO theough mkopo lkn wamefanya makubwa ujenzi wa sgr ni kielelezo tosha ss serikali yetu ilichelewa sana japo Kuna jitihada ziliOchujuliwa za ujenzi wa SGR ya umeme ...lkn bado KE wamewekeza sana ktk miundo mbinubya usafirishaj
 
Tulia usipaparike Kaka, serikali kazi yake ni kuweka mazingira mazuri ili wafanyabiashara waweze kufanya biashara vizuri, Uganda ikiamua kujenya reli inayounganisha Tanzania, ni wazi wafanyabiashara Watatumia hiyo reli. Serikali ya Uganda na Tanzania wakikubaliana kupunguziana taxes mbalimbali ili kuvutia wafanyabiashara, lazima wafanyabiashara Watatumia hiyo opportunity, ndio kazi ya hao viongozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna popote duniani sector binafsi inaweza thrive bila harmonisation kutoka serikalini, vitu kama infrastructures, taxes and tariffs, policies, security haya yote hayawezi jadiliwa na private sector without the government intervention na kwa serikali hii ya JPM tegemea mzigo wa Uganda lazima tugawane tu piga ua.
 
Wewe haumjui M7. The Guy is a dictator who can order businessmen to use any port/route he chozes. The mistake uhuru did was to intefer with M7-Kagame wars. The same mistake kikwete did 4 years ago and almost led to a rwanda-Tz war.
To make matters worse, UG businessmen have refused to use SGR due to high costs
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Hard sell: Broken SGR promise? : The Standard
 
Thicksets hawawezimfikia kenyatta hata siku mmoja......
 

Nothing stops you from dreaming.
The only way Museveni can force a businessman from not taking the faster, cheaper option is by shutting down the border.
 

Kutumia maneno makubwa bila kusema chochote.
Wafanyibiashara wa Uganda wataacha kutumia Mombasa ile siku mpaka wa Busia utafungwa.
 
You're chasing after bones.
Policy issues can be solved over a cup of tea in one afternoon.
Meanwhile, Mombasa will always be 500km closer to Kampala than Dar.
Hahaha..Simple policy issues like paying maize farmers and food security at the north has seen uhuru waste billions in ghost projects..Internation disputes are beyond this drunkard, he cant even get migingo back from uganda, Alshabab are freely operating in isilo and eastleigh, the guy is so stupid that people close to him are defrauding billionares using mimicking his voice..Hehehe Dereva mlevi makanga mwizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…