REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juzi tulishuhudia ujumbe mzito kutoka kwa Rais wa Uganda na kuripoti kwa Magufuli moja kwa moja Ikuli
Ikumbukwe ni hivi karibuni tu Rais wa Kenya amekutana na Rais wa Uganda.
Zaidi ya 70% ya mzigo wote wa nje wa bandari ya mombasa unaenda Uganda
View attachment 1048490
View attachment 1048491
Tulia usipaparike Kaka, serikali kazi yake ni kuweka mazingira mazuri ili wafanyabiashara waweze kufanya biashara vizuri, Uganda ikiamua kujenya reli inayounganisha Tanzania, ni wazi wafanyabiashara Watatumia hiyo reli. Serikali ya Uganda na Tanzania wakikubaliana kupunguziana taxes mbalimbali ili kuvutia wafanyabiashara, lazima wafanyabiashara Watatumia hiyo opportunity, ndio kazi ya hao viongozi.Wananchi waliozoea vya bwerere kutoka kwa serikali. Wanaodhani kwamba serikali ndio alpha na omega kwa bidhaa, hawatawahi elewa kwamba mizigo 100% inayopitia Mombasa kwenda Uganda, ni ya wafanyibiashara binafsi, wala sio ya serikali.
Magufuli anaweza kutana na papa mtakatifu mwenyewe, lakini kama mpaka wa Kenya na Uganda umefunguliwa, wafanyibiashara wataendelea kupitisha bidhaa zao Mombasa tu.
Mpaka ile siku geography itaisongeza Dar karibu na Kampala. 😀😀
Hakuna popote duniani sector binafsi inaweza thrive bila harmonisation kutoka serikalini, vitu kama infrastructures, taxes and tariffs, policies, security haya yote hayawezi jadiliwa na private sector without the government intervention na kwa serikali hii ya JPM tegemea mzigo wa Uganda lazima tugawane tu piga ua.Wananchi waliozoea vya bwerere kutoka kwa serikali. Wanaodhani kwamba serikali ndio alpha na omega kwa bidhaa, hawatawahi elewa kwamba mizigo 100% inayopitia Mombasa kwenda Uganda, ni ya wafanyibiashara binafsi, wala sio ya serikali.
Magufuli anaweza kutana na papa mtakatifu mwenyewe, lakini kama mpaka wa Kenya na Uganda umefunguliwa, wafanyibiashara wataendelea kupitisha bidhaa zao Mombasa tu.
Mpaka ile siku geography itaisongeza Dar karibu na Kampala. 😀😀
Wewe haumjui M7. The Guy is a dictator who can order businessmen to use any port/route he chozes. The mistake uhuru did was to intefer with M7-Kagame wars. The same mistake kikwete did 4 years ago and almost led to a rwanda-Tz war.Wananchi waliozoea vya bwerere kutoka kwa serikali. Wanaodhani kwamba serikali ndio alpha na omega kwa bidhaa, hawatawahi elewa kwamba mizigo 100% inayopitia Mombasa kwenda Uganda, ni ya wafanyibiashara binafsi, wala sio ya serikali.
Magufuli anaweza kutana na papa mtakatifu mwenyewe, lakini kama mpaka wa Kenya na Uganda umefunguliwa, wafanyibiashara wataendelea kupitisha bidhaa zao Mombasa tu.
Mpaka ile siku geography itaisongeza Dar karibu na Kampala. 😀😀
Wewe haumjui M7. The Guy is a dictator who can order businessmen to use any port/route he chozes. The mistake uhuru did was to intefer with M7-Kagame wars. The same mistake kikwete did 4 years ago and almost led to a rwanda-Tz war.
To make matters worse, UG businessmen have refused to use SGR due to high costs
👇👇👇👇
Hard sell: Broken SGR promise? : The Standard
Hakuna popote duniani sector binafsi inaweza thrive bila harmonisation kutoka serikalini, vitu kama infrastructures, taxes and tariffs, policies, security haya yote hayawezi jadiliwa na private sector without the government intervention na kwa serikali hii ya JPM tegemea mzigo wa Uganda lazima tugawane tu piga ua.
Museveni does not need to get involved, Market forces will work!Nothing stops you from dreaming.
The only way Museveni can force a businessman from not taking the faster, cheaper option is by shutting down the border.
Museveni does not need to get involved, Market forces will work!
View attachment 1048970
Hahaha..Simple policy issues like paying maize farmers and food security at the north has seen uhuru waste billions in ghost projects..Internation disputes are beyond this drunkard, he cant even get migingo back from uganda, Alshabab are freely operating in isilo and eastleigh, the guy is so stupid that people close to him are defrauding billionares using mimicking his voice..Hehehe Dereva mlevi makanga mwiziYou're chasing after bones.
Policy issues can be solved over a cup of tea in one afternoon.
Meanwhile, Mombasa will always be 500km closer to Kampala than Dar.