technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Wamemnyamazisha Mange sijui wamefikiana dau gani ila nadhani kawapiga sana hadi sasa haposti chochote kuhusu Corona kutoka bongo licha ya kutumiwa video lukukiHapa nimelala nautafuta usingizi kila nikijigeuza nasikia King'ora Cha gari ya wagonjwa inapita duh.
Kila Muda mchana unajua inakuwa ngumu kusikia sn unachukulia poa ila usiku toka nimelala ni gari la 3 nasikia linapita nje.
Hi Corona itasomba watu aisee ni hatari hali ime-change ghafula hata usingizi umeisha.
Watu wanaopukutika broHapa nimelala nautafuta usingizi kila nikijigeuza nasikia King'ora Cha gari ya wagonjwa inapita duh.
Kila Muda mchana unajua inakuwa ngumu kusikia sn unachukulia poa ila usiku toka nimelala ni gari la 3 nasikia linapita nje.
Hi Corona itasomba watu aisee ni hatari hali ime-change ghafula hata usingizi umeisha.
Watu wanaopukutika bro
Jr[emoji769]
Nenda mortuary ukajifunze.Ving'ora siku zote vilikuwepo lakini tu hakukuwa na concentration tofauti na sasa!
Sent using kidole gumba
Vilikuwepo lakini havikuwa vingi kama hivi sasa.Ving'ora siku zote vilikuwepo lakini tu hakukuwa na concentration tofauti na sasa!
Sent using kidole gumba
kuna mbinu nyingine zinaweza kukunyamazisha bure tu ndugu yangu ..una kumbuka mambo ya kimeta? tafakari chukua tahadhariWamemnyamazisha Mange sijui wamefikiana dau gani ila nadhani kawapiga sana hadi sasa haposti chochote kuhusu Corona kutoka bongo licha ya kutumiwa video lukuki