Mbona magazeti yote hayaongelei mechi ya Simba?kulikoni.

eddy brown

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
414
Reaction score
314
Nimeangalia magazeti yote kwenye mtandao asubuhi hii,cha ajabu ni habari za Yanga kutolewa bikra,mnyama hayupo sehemu yeyote na mda uloisha mpira bado unatosha kuwahi kutuletea kilicho jiri huko,au kuna kiaibu fulani baada kile kichapo cha mkono?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingi magazeti huwa yanamaliziwa kuchapishwa usiku mida ya saa mbili ambaopo matokeo kamili ya Simba bado hayakufika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ama kwel yanga ni timu ya wana nchi.
Kila gazeti ni yanga. Mikia siwaoni kwenye magazeti
 
Nimeangalia magazeti yote kwenye mtandao asubuhi hii,cha ajabu ni habari za Yanga kutolewa bikra,mnyama hayupo sehemu yeyote na mda uloisha mpira bado unatosha kuwahi kutuletea kilicho jiri huko,au kuna kiaibu fulani baada kile kichapo cha mkono?

Sent using Jamii Forums mobile app
Andika gazeti lako ulipeleke mtaani au tafuta lile la Yanga lazima wataandika ya Simba na hawataandika ya kwao.
 
dah! ndo naamka baada a kusherekea kipigo cha mikia siku ya jana. ngoja niwaulize waandishi na wahariri kwanini hawajatuwekea habari yetu pendwa!
 
Ama kwel yanga ni timu ya wana nchi.
Kila gazeti ni yanga. Mikia siwaoni kwenye magazeti
Yanga ni timu ya wananchi, SIMBA NI TIMU YA NCHI. Kutokuandikwa huko sababu ni taifa limefungwa hivyo kuficha fedheha magazeti yamepeta.
 
Nimeangalia magazeti yote kwenye mtandao asubuhi hii,cha ajabu ni habari za Yanga kutolewa bikra,mnyama hayupo sehemu yeyote na mda uloisha mpira bado unatosha kuwahi kutuletea kilicho jiri huko,au kuna kiaibu fulani baada kile kichapo cha mkono?

Sent using Jamii Forums mobile app
**Leo jumapili watu tupo kanisani habari za simba hazituhusu leo tunasubiri kesho maofisini tuanze kuwekana sawa maana tuliyajua haya wakawa wabishi.

Watu wa magazeti wanajua kuwauwa kiume maana tungeanza kuongelea leo ingefika kesho tungeshasahau wakati kesho ndiyo siku nzuri wadau wote tunakutana.

Natania bana ila ukweli ni kwamba magazeti yalikwisha kuwa tiali at the time matokeo yanatoka. **

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio magazeti tu. Kuna kipindi cha michezo saa 1:30 asubuhi cha RFA hawajasoma kabisa taarifa hii ya mikia kutikiswa mikia yao mara 5. Sjui tatizo nini
 
Nimeangalia magazeti yote kwenye mtandao asubuhi hii,cha ajabu ni habari za Yanga kutolewa bikra,mnyama hayupo sehemu yeyote na mda uloisha mpira bado unatosha kuwahi kutuletea kilicho jiri huko,au kuna kiaibu fulani baada kile kichapo cha mkono?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi imeisha saa tatu magazeti yakiwa yameshatoka tayari
 
.
Screenshot_20190119-225318.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom