eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
Mara nyingi magazeti huwa yanamaliziwa kuchapishwa usiku mida ya saa mbili ambaopo matokeo kamili ya Simba bado hayakufikaNimeangalia magazeti yote kwenye mtandao asubuhi hii,cha ajabu ni habari za Yanga kutolewa bikra,mnyama hayupo sehemu yeyote na mda uloisha mpira bado unatosha kuwahi kutuletea kilicho jiri huko,au kuna kiaibu fulani baada kile kichapo cha mkono?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo kwa wewe kutobolewa na vijana wa stend haukona taabu kabisa kweli nimeamini ndio maana mkaitwa wa matopeni yaani vyura wakubwa nyie.Jana nimelala usingizi safi. Mara baada ya mikia kupata kipigo cha 5
Andika gazeti lako ulipeleke mtaani au tafuta lile la Yanga lazima wataandika ya Simba na hawataandika ya kwao.Nimeangalia magazeti yote kwenye mtandao asubuhi hii,cha ajabu ni habari za Yanga kutolewa bikra,mnyama hayupo sehemu yeyote na mda uloisha mpira bado unatosha kuwahi kutuletea kilicho jiri huko,au kuna kiaibu fulani baada kile kichapo cha mkono?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga ni timu ya wananchi, SIMBA NI TIMU YA NCHI. Kutokuandikwa huko sababu ni taifa limefungwa hivyo kuficha fedheha magazeti yamepeta.Ama kwel yanga ni timu ya wana nchi.
Kila gazeti ni yanga. Mikia siwaoni kwenye magazeti
**Leo jumapili watu tupo kanisani habari za simba hazituhusu leo tunasubiri kesho maofisini tuanze kuwekana sawa maana tuliyajua haya wakawa wabishi.Nimeangalia magazeti yote kwenye mtandao asubuhi hii,cha ajabu ni habari za Yanga kutolewa bikra,mnyama hayupo sehemu yeyote na mda uloisha mpira bado unatosha kuwahi kutuletea kilicho jiri huko,au kuna kiaibu fulani baada kile kichapo cha mkono?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi imeisha saa tatu magazeti yakiwa yameshatoka tayariNimeangalia magazeti yote kwenye mtandao asubuhi hii,cha ajabu ni habari za Yanga kutolewa bikra,mnyama hayupo sehemu yeyote na mda uloisha mpira bado unatosha kuwahi kutuletea kilicho jiri huko,au kuna kiaibu fulani baada kile kichapo cha mkono?
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahahhahaNimeangalia magazeti yote kwenye mtandao asubuhi hii,cha ajabu ni habari za Yanga kutolewa bikra,mnyama hayupo sehemu yeyote na mda uloisha mpira bado unatosha kuwahi kutuletea kilicho jiri huko,au kuna kiaibu fulani baada kile kichapo cha mkono?
Sent using Jamii Forums mobile app