Mbona marefa huko AFCON ni waarabu tu

Mbona marefa huko AFCON ni waarabu tu

yitzhak

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2019
Posts
616
Reaction score
853
Toka michuano ianze marefari ni waarabu tu na wanafanya maamuzi ya kijinga kweli

Watu weusi hamuwezi kuwachalenji Hawa wajinga kwanini msiwasusie tuone watachezaje peke yao
Yaani Africa mpo kwenye bara lenu bado mnatii hao mbururazi

Waarabu wamezoea soka la kunyonga ndio maana wakienda kombe la dunia huwa wanachapwa km paka

Africa ikiungana inaweza kukomboa soka la africa lililoshikiliwa na Hawa jamaa
 
Chuki ndo nahisi,
 
Sisi tunao akina Kambuzi. Hawafai hata kufanya usafi kule Misri.
 
Toka michuano ianze marefari ni waarabu tu na wanafanya maamuzi ya kijinga kweli

Watu weusi hamuwezi kuwachalenji Hawa wajinga kwanini msiwasusie tuone watachezaje peke yao
Yaani Africa mpo kwenye bara lenu bado mnatii hao mbururazi

Waarabu wamezoea soka la kunyonga ndio maana wakienda kombe la dunia huwa wanachapwa km paka

Africa ikiungana inaweza kukomboa soka la africa lililoshikiliwa na Hawa jamaa.
Hapo kwenye red,mstari wa mwisho kabisa,hivi unadhani hizo nchi za hao waarabu zipo bara gani? eti africa ikiungana!! Egypt,Morocco,Algeria,Tunisia,Zipo bara gani?
 
Sio Wote Marefa ni Waarabu....
Caf haiwezi kuweka Refa Mwarabu kwenye Mechi ambayo Mwarabu anacheza.

Marefa hao wanaoonekana ni Waarabu wanataka.....

-Madagasca.
-Ushelisheli.
-comoro
-Mauritius n.k ambapo raia wengi ni Mixer.
 
Toka michuano ianze marefari ni waarabu tu na wanafanya maamuzi ya kijinga kweli

Watu weusi hamuwezi kuwachalenji Hawa wajinga kwanini msiwasusie tuone watachezaje peke yao
Yaani Africa mpo kwenye bara lenu bado mnatii hao mbururazi

Waarabu wamezoea soka la kunyonga ndio maana wakienda kombe la dunia huwa wanachapwa km paka

Africa ikiungana inaweza kukomboa soka la africa lililoshikiliwa na Hawa jamaa

Mkuu si ungekaa kimya tu ukaficha huu upopoma wako!

Hivi kwenye Kikosi cha Tanzania mulikuwa na Muarabu? Mbona nao wamechapwa kama Paka?

Waarabu ndiyo wanaomiliki mpira wa Afrika kuanzia ngazi ya Vilabu mpaka Mataifa.

Na kama Waarabu wanafanya maamuzi ya kijinga kwenye haya mashindano basi MISRI na MOROCCO wasingetolewa na hao uliojiaminisha ndiyo Waafrika wenye Hatimiliki na Bara la Afrika.
 
Back
Top Bottom