Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Mimi ni mtumiaji mzuri wa airtel ila baada ya kupoteza simu nikaibuka na voda wapo vizuri ila shidaaa ni hii message za matapeli haziishi yani hujakaa vizuri mara mganga wa nguvu za kiume na utajiri.
Wanadili gani hawa maana si kwa tigo na mtandao mingine ni kubaatisha ila voda message hizi zimezidi sana.
Wanadili gani hawa maana si kwa tigo na mtandao mingine ni kubaatisha ila voda message hizi zimezidi sana.