Mbona matapeli na waganga wa jadi wamejaa Voda?

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
4,226
Reaction score
8,879
Mimi ni mtumiaji mzuri wa airtel ila baada ya kupoteza simu nikaibuka na voda wapo vizuri ila shidaaa ni hii message za matapeli haziishi yani hujakaa vizuri mara mganga wa nguvu za kiume na utajiri.

Wanadili gani hawa maana si kwa tigo na mtandao mingine ni kubaatisha ila voda message hizi zimezidi sana.
 
Tafiti vema ikibidi peleka maoni voda ili wachukuwe hatua.
 
TTCL pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…