Mbona Mbowe hayumo JF?

Aklili za magamba ni mbaya na za kipuuzi sana,si kila mtu lazima awe jf,mbona mitume kumi na wawili wa CCM hawamo humu
 
[TABLE="width: 521"]
[TR]
[TD="class: xl24, width: 189, bgcolor: transparent"] [/TD]
[TD="class: xl28, width: 133, bgcolor: transparent"]MALARIA SUGU[/TD]
[TD="class: xl28, width: 123, bgcolor: transparent"]RTZ[/TD]
[TD="class: xl28, width: 125, bgcolor: transparent"]MWITA25[/TD]
[TD="class: xl28, width: 124, bgcolor: transparent"]REJAO[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl24, bgcolor: transparent"]Join Date[/TD]
[TD="class: xl25, bgcolor: transparent"]02/08/2009[/TD]
[TD="class: xl25, bgcolor: transparent"]01/01/2011[/TD]
[TD="class: xl24, bgcolor: transparent"]15/04/2011[/TD]
[TD="class: xl25, bgcolor: transparent"]04/05/2010[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl24, bgcolor: transparent"]Total Post[/TD]
[TD="class: xl29, bgcolor: transparent"] 7,042 [/TD]
[TD="class: xl30, bgcolor: transparent"] 2,071 [/TD]
[TD="class: xl30, bgcolor: transparent"] 1,083 [/TD]
[TD="class: xl30, bgcolor: transparent"] 1,967 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl24, bgcolor: transparent"]Cutoff date[/TD]
[TD="class: xl26, width: 133, bgcolor: transparent"]19/09/2011 at 13:23[/TD]
[TD="class: xl26, width: 123, bgcolor: transparent"]19/09/2011 at 17:46[/TD]
[TD="class: xl26, width: 125, bgcolor: transparent"]19/09/2011 at 13:49[/TD]
[TD="class: xl26, width: 124, bgcolor: transparent"]14/09/2011 at 12:49[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl31, width: 189, bgcolor: transparent"]Membership in the forum up to cuttoff date[/TD]
[TD="class: xl27, bgcolor: transparent"]778 days[/TD]
[TD="class: xl27, bgcolor: transparent"]261 days[/TD]
[TD="class: xl27, bgcolor: transparent"]157 days[/TD]
[TD="class: xl27, bgcolor: transparent"]498 days[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl31, width: 189, bgcolor: transparent"]Approximation of numbers post per day[/TD]
[TD="class: xl24, bgcolor: transparent"]9.05 post / day[/TD]
[TD="class: xl24, bgcolor: transparent"]7.93 post / day[/TD]
[TD="class: xl24, bgcolor: transparent"]6.89 post / day[/TD]
[TD="class: xl24, bgcolor: transparent"]3.94 post / day[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Sina cha ziada cha kuwaeleza kuhusu huyu Bwana Mwita25
 
Niliwahi kumuuliza Mbowe kwa nini haumo JF, akanijibu alikuwepo wakati inaitwa Jambo Forum.

Kwa sasa hivi hakaniambia hawezi kuja JF sababu eti kumejaa pumba sana, halafu ata nikija sioni umuhimu wowote kuna mateka wake wengi wanampigania huwa wanapitia posho
 
Wenzake Slaa na Zitto huwa wanatumia muda wao kujadiliana hoja na wanaJF. Yeye vipi, mbona hayumo humu jamvini? Ni dharau au uelewa mdogo?
Kwani kuingia JF ni lazima??Na kwann wamuulizia mbowe tu usiulizie Pinda na Makamba, JK na Mtei?? nionavyo mimi hoja hii haina msingi wowote zaid ya kuchoshana tu.
 
Mwita25 bwana una mashida mengi mno .Pole sana kijana wangu .Mbona hujauliza Lipumba let alone JK
 
Isitoshe JK hana
kitu cha kupoteza
kwasababu ameshatimiza
malengo yake ya kuwa
Rais wa nchi.......Na hii ndo sababu ya yeye kuboronga,hakuwa na lengo la kulisaidia taifa hili kupiga hatua kuelekea ktk hali bora,ila alikuwa anataka Urais tu!
 
Sio lazima kila kiongozi wa Cdm unaemjua ww awepo humu kuna vijana wanafanya kazi nzuri kumuwakilisha
 
JK amejiwekea utaratibu wa kuongea na wananchi kila mwezi anapopata nafasi. Isitoshe JK hana kitu cha kupoteza kwasababu ameshatimiza malengo yake ya kuwa Rais wa nchi na kuleta amani na utulivu wa nchi yetu changa.

aisee, hana cha kupoteza? je ccm huoni kuwa ndo inapotea? samahani yawezekana ndo upeo wako umeishia hapo
 
Mwita unaumwa kapimwe akili yako. wapi makamba, rostam, mkama, wasira na jk yupo facebook mbona humu jf hayumo?
 
Acha kuongea pumba we saka kwani lazima viongozi wote wa chadema wawe JF?
 
Wenzake Slaa na Zitto huwa wanatumia muda wao kujadiliana hoja na wanaJF. Yeye vipi, mbona hayumo humu jamvini? Ni dharau au uelewa mdogo?

ur not normal mtu wangu? Wapi imeandikwa iwe biblia, quran au katiba ya nchi kwamba ni lazima kila mtu/mtanzania kuwa member JF.
 
Mbowe anawezekana yumo humu,ila inawezekana anatumia jina lingine anaweza kujiita hata jiwegumu je utamjua?
 
Mwenzake Nape huwa anatumia muda wake kujadiliana hoja na wanaJF, mbona JK hayupo humu jamvini? Ni dharau au uelewa mdogo?

huyo nape anajadili nn cha maana humu zaidi ya kuleta utumbo humu?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…