Mbona Mbowe hayumo JF?

Acha kiherehere unajuaje kama yupo au hayupo? kwani lazima ID yake isomeke MBOWE? Mbona Wassira hayupo JF?
Mbona Wassira yupo JF! Kwani hujawahi mshtukia anatumia ID gani?! Think aloud utamgundua..he is so close to you and this thread.
 

nadhani hili jibu linakaribiana na ukweli
 
Wenzake Slaa na Zitto huwa wanatumia muda wao kujadiliana hoja na wanaJF. Yeye vipi, mbona hayumo humu jamvini? Ni dharau au uelewa mdogo?
vp kikwete anatumia jina gani?
 
mwita unadhani mamako ni memba wa hf
 
Unanijua mimi?

Kama usivyonijua huwezi kujua humu mtu, humu kila mtu anajijua mwenyewe
 
Mimi ndo Mbowe!!! sema unachotaka nikusaidie na njaa zako hizo!!!

##FREEROMA##
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…