Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kuingia JF ni lazima??Na kwann wamuulizia mbowe tu usiulizie Pinda na Makamba, JK na Mtei?? nionavyo mimi hoja hii haina msingi wowote zaid ya kuchoshana tu.Wenzake Slaa na Zitto huwa wanatumia muda wao kujadiliana hoja na wanaJF. Yeye vipi, mbona hayumo humu jamvini? Ni dharau au uelewa mdogo?
Wenzake Slaa na Zitto huwa wanatumia muda wao kujadiliana hoja na wanaJF. Yeye vipi, mbona hayumo humu jamvini? Ni dharau au uelewa mdogo?[/QUOT]
Wapi RA???
JK amejiwekea utaratibu wa kuongea na wananchi kila mwezi anapopata nafasi. Isitoshe JK hana kitu cha kupoteza kwasababu ameshatimiza malengo yake ya kuwa Rais wa nchi na kuleta amani na utulivu wa nchi yetu changa.
Acha kuongea pumba we saka kwani lazima viongozi wote wa chadema wawe JF?Niliwahi kumuuliza Mbowe kwa nini haumo JF, akanijibu alikuwepo wakati inaitwa Jambo Forum.
Kwa sasa hivi hakaniambia hawezi kuja JF sababu eti kumejaa pumba sana, halafu ata nikija sioni umuhimu wowote kuna mateka wake wengi wanampigania huwa wanapitia posho
Wenzake Slaa na Zitto huwa wanatumia muda wao kujadiliana hoja na wanaJF. Yeye vipi, mbona hayumo humu jamvini? Ni dharau au uelewa mdogo?
Kwanini invizibo?Rev Fr Masanilo JF Premium Member
[h=2] This message has been deleted by Invisible.
[/h]
Today 08:08
Bhavick
[h=2] This message has been deleted by Invisible. [/h]
Unan-takia BAN wewe!!Wenzake Slaa na Zitto huwa wanatumia muda wao kujadiliana hoja na wanaJF. Yeye vipi, mbona hayumo humu jamvini? Ni dharau au uelewa mdogo?
Mwenzake Nape huwa anatumia muda wake kujadiliana hoja na wanaJF, mbona JK hayupo humu jamvini? Ni dharau au uelewa mdogo?