mbona mi Sipati

mbona mi Sipati

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,105
daah! Mpaka nimechoka yan nimetafuta wa kunliwaza na kunituliza moyo nimekosa nifanyeje!
 
Kunywa maji ya baridi yatakuliwaza na kukutuliza moyo.
 
hiyo thread yako ulivyoiandika tu inaonesha u r not serious. tuheshimu jukwaa jamani.
 
hiyo thread yako ulivyoiandika tu inaonesha u r not serious. tuheshimu jukwaa jamani.

jaman jaman hivi kweli kuna watu hawapendi maendeleo yangu umenijaji vip ukajua sipo serious?
 
Ndio maana haumpati....

kumbe nawe hiyo lugha umeiona eeh!! Ila hashycool huwaga mtaalam wa tiba mbandala sijui yuko wapi. Hahahaha alisema maji ya maharage yanasaidia sana kumtolea gundu mhusika akiyaoga! Lol
 
Akaendelee kukata mkaa wa enzi.....
Pia anaweza akafungua ofisi za uganga wa kienyeji , wanasayansi wamegundua waganga wa kienyeji wanapendwa sana na jinsia iliovimba vifua
 
jamaa ingia jukwaa la mwisho kwa kaka kimbweka halafu nyetuka fasta utafarijika hakuna gharama yoyote juu ya hilo..see you later..
 
Back
Top Bottom