Mbona michel tu huyu nae mnamjua? Cameroon first lady!

Mbona michel tu huyu nae mnamjua? Cameroon first lady!

huyu ndio m rembo kuliko ma first lady wote duniani.
Cheki alivyotoka bomba na ka sweta kake ka kulimia.


mh buji

utafikiri ni mwanaume mwenzetu ngumi mkononi huyo naona atajamaa atakuwa atoki nae out sana atakuwaanamwambia tangulia nakuja
 
Jamani first lady wa swazland ni noma, kitu kimetulia kwa kujipumzisha!! Kweli mwanamke ni maua ndani ya nyumba!!

Umemuona eeee! hata mimi namkubali mtoto katulia, huyo sasa anaweza fananishwa na Michele
 
marie.jpg
olive kabila

mzuri ila kama kamzidi kabila umri au macho yangu jameni
 
kati ya woooote mama yetu anafunika.....big up mama
 
jinsi kabila alivyopendeza na oliva natamani kuoa jamani this year
 
Lucy Kibaki si first lady nyie nani kawadanganya?!
Yeye ndiye rais wa Kenya ati!! Waulizeni wenyewe. Nani anabisha?😉
 
lucy kibaki


yaani huyu madame na ukorofi wake vinaendana na alivyo
nakumbuka siku amemsimamia mmewe kwenye vyombo vya habari ,mmewe anaconfess kuwa hajazaa na mwanamke yoyote zaidi ya mama kibaki
 
yaani huyu mwanamama lol

kinachonishangaza wakati ana Umri wa Miaka 39 uso wake unaonekana kama ana miaka zaidi ya 60. makeups!!!!!!????????

http://www.dailymail.co.uk/news/wor...ws-Sarah-Brown-great-heights-hairstyling.html

Chantal Biya (born 1971) is the First Lady of Cameroon. She was born in Dimako, East Province, to French expatriate Georges Vigouroux and Miss Doumé pageant winner Rosette Ndongo Mengolo. Chantal Biya spent her adolescence in Yaoundé.
She married President Paul Biya on 23 April 1994, after his first wife, Jeanne-Irène Biya, died in 1992. Chantal Biya has established several charitable organisations. Among them are African Synergy, which pursues various HIV/AIDS initiatives, and the Chantal Biya Foundation (French Fondation Chantal Biya). She hosted the original First Ladies Summit in Yaoundé during the 1996 Organisation of African Unity summit. Her Jeunesse Active pour Chantal Biya is an organ of her husband's Cameroon People's Democratic Movement.
Among Cameroonian women, Biya is famous for her hairstyles. Her signature style is called the banane, and is used for formal occasions.[Biya has popularised other styles; collectively, they are known as the Chantal Biya. She is also known because of her exotic wardrobe. Some of her favourite designers include high-end Western labels such as Chanel or Dior.

 
Back
Top Bottom