Mbona misafara ya marais ya nchi zilizoendelea sio kama misafara ya marais ya nchi za Afrika

Mbona misafara ya marais ya nchi zilizoendelea sio kama misafara ya marais ya nchi za Afrika

Amatoro

Senior Member
Joined
Mar 6, 2023
Posts
130
Reaction score
339
Mbona misafara ya marais ya nchi zilizoendelea sio kama misafara ya marais ya nchi za afrika unakuta kwenye msafara wa rais kuna gari zaid ya 20.

Ni nini shida au nchi za afrika zinahela sana
 
Mbona misafara ya marais ya nchi zilizoendelea sio kama misafara ya marais ya nchi za afrika unakuta kwenye msafara wa rais kuna gari zaid ya 20.

Ni nini shida au nchi za afrika zinahela sana
Ndg Amatara. Sidhani kama hii ni kweli sababu fatilia utagundua hata hizo nchi ulizozisema nao misafara ni mukubwa sema wenzetu uchumi wao haina impact sana. Tafuta kiongozi wa Marekani, Urusi, China , India, Pakistani, Ujerumani utaona ni hivi hivi . Nchi pekee ambazo nimekuwa nazishangaa misafara midogo tena utakuta ni piki piki ni Uk na nchi za kama Uholanzi, sweeden, finland.
 
Back
Top Bottom