Ndg Amatara. Sidhani kama hii ni kweli sababu fatilia utagundua hata hizo nchi ulizozisema nao misafara ni mukubwa sema wenzetu uchumi wao haina impact sana. Tafuta kiongozi wa Marekani, Urusi, China , India, Pakistani, Ujerumani utaona ni hivi hivi . Nchi pekee ambazo nimekuwa nazishangaa misafara midogo tena utakuta ni piki piki ni Uk na nchi za kama Uholanzi, sweeden, finland.