Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Wakuu,
Yaani asubuhi asubuhi mshasema maandamano yamefeli? Ndio kwanza siku imeanza mbona mnatukatia tamaa mapema hivi? Hamuamini kuwa wanannchi tunaweza kuleta mabadiliko wenyewe?
VItuo si vinafunguliwa, tunaamka na kutoka na vitambulisho vyetu huko huko tunaungana barabarani, mlitaka watu waanze kufuatana mapema kabla ya muda wa vituo kufunguliwa ili iwe rahisi kujulikana unaenda kuandamana ukadakwe juu kwa juu kabla hujafika kwenye lengo?🤔🤔
Kuanzia sasa ukitoka haijulikani anayeenda kupiga kura nani, na anaeenda kumkalisha Samuya nani. Shoo ndio inaenda kuanza, ukitoka usisahau kuchua zako kitambulisho hadi ufike eneo husika.
Afu na wewe unaesema tumefeli embu hakikisha umebeba kitambulisho huko, wasije wakakukuta huna ukadakwa mapema😒😒