Wananchi wa nchi gani, hi hi Tanzania [emoji1241] halitakuja kutokea in life labda baada ya miaka 100.Wakuu,
Yaani asubuhi asubuhi mshasema maandamano yamefeli? Ndio kwanza siku imeanza mbona mnatukatia tamaa mapema hivi? Hamuamini kuwa wanannchi tunaweza kuleta mabadiliko wenyewe?
VItuo si vinafunguliwa, tunaamka na kutoka na vitambulisho vyetu huko huko tunaungana barabarani, mlitaka watu waanze kufuatana mapema kabla ya muda wa vituo kufunguliwa ili iwe rahisi kujulikana unaenda kuandamana ukadakwe juu kwa juu kabla hujafika kwenye lengo?[emoji848][emoji848]
Kuanzia sasa ukitoka haijulikani anayeenda kupiga kura nani, na anaeenda kumkalisha Samuya nani. Shoo ndio inaenda kuanza, ukitoka usisahau kuchua zako kitambulisho hadi ufike eneo husika.
Afu na wewe unaesema tumefeli embu hakikisha umebeba kitambulisho huko, wasije wakakukuta huna ukadakwa mapema[emoji19][emoji19]
Ujinga tu hamna ubavu huo,namkishindwa kuandamana leo basi imetoka na mtajutiaLazima turudishe nchi yetu mikononi mwetu
Tutajutia wewe ukiwa wapi?Ujinga tu hamna ubavu huo,namkishindwa kuandamana leo basi imetoka na mtajutia
Kama kuna uasi ndani ya vyombo vya Ulinzi na Usalama hapo kweli unaweza ukatatarajia jambo, but kama ni hayo yaliyokuwa yakitajwa mitandaoni sahauni kwa kweli.Wakuu,
Yaani asubuhi asubuhi mshasema maandamano yamefeli? Ndio kwanza siku imeanza mbona mnatukatia tamaa mapema hivi? Hamuamini kuwa wanannchi tunaweza kuleta mabadiliko wenyewe?
VItuo si vinafunguliwa, tunaamka na kutoka na vitambulisho vyetu huko huko tunaungana barabarani, mlitaka watu waanze kufuatana mapema kabla ya muda wa vituo kufunguliwa ili iwe rahisi kujulikana unaenda kuandamana ukadakwe juu kwa juu kabla hujafika kwenye lengo?π€π€
Kuanzia sasa ukitoka haijulikani anayeenda kupiga kura nani, na anaeenda kumkalisha Samuya nani. Shoo ndio inaenda kuanza, ukitoka usisahau kuchua zako kitambulisho hadi ufike eneo husika.
Afu na wewe unaesema tumefeli embu hakikisha umebeba kitambulisho huko, wasije wakakukuta huna ukadakwa mapemaππ
Siku ina saa 24, ila acha disc iendelee ili polisi wajisahau kabisaWakuu,

Sikutegemea ungekuwa wa kukata tamaa kiasi hiki.Wananchi wa nchi gani, hi hi Tanzania [emoji1241] halitakuja kutokea in life labda baada ya miaka 100.
πππππππππππππ JF Expert Member πππMnachukua nchi saa ngapi wakuu, tupo pamoja sanaView attachment 3495573