GE2025 Mbona mnatukatisha tamaa mapema hivi wakati ndio kwanza siku imeanza? Tulieni Polisi wapate surprise!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huku kwetu watu wamegoma kupiga kura

Tunasubiri ripoti kwa watu wa dar na dom maana mpo karibu na sirikali!
Tiger wa madoa doa upo mvunguni utajuaje watu wanapiga kura,?Toka mvunguni watu wanatiki kwa kwenda mbele.
 
Tiger wa madoa doa upo mvunguni utajuaje watu wanapiga kura,?Toka mvunguni watu wanatiki kwa kwenda mbele.
Wewe dogo ni muoga sana na unadhani wote ni waoga kama wewe

Mimi ni BLACKTIGER nimeshawahikufa mara mbili.
 
Noma sana,yule
Yule keyboard warrior Lord Denning aliyekuwa na mikwara mbuzi ya kuchoma ofisi na vituo vya mafuta sijui kajificha chooni maskini?Talking is cheap hata debe tupu linatoa sauti.
Amehifadhiwa sehemu salama. Uliomuona lini mara ya mwisho.
 
Team chawa mko wapi? Nchi inarudi mikononi mwa wananchi🔥🔥🔥🔥🔥
 
Mi nafurah tu kuona wanawake nao wanashinikiza hii kitu

Ingawaje mim siungi mkono haya maandamano
 
Wananchi wa nchi gani, hi hi Tanzania [emoji1241] halitakuja kutokea in life labda baada ya miaka 100.
Huku Tunduma tumechoma moto gari la Mafwele...

Niambie sasa Tunduma ipo Tz au ipo Palestine?

You are toilet paper kichambio cha maza zoba wahed weye
 
Tiger wa madoa doa upo mvunguni utajuaje watu wanapiga kura,?Toka mvunguni watu wanatiki kwa kwenda mbele.
You are toilet paper kichambio cha maza zoba wahed weye 😎
 
You are toilet paper kichambio cha maza zoba wahed weye 😎
Mchagga na weye wapi na wapi?Tafuta gunzi uzibe huo ushuzi unaokutoka huko uvunguni.Keyboard warrior wa kimachame.Unajua hata toilet papper kweli umeendelea.Juzi juzi tu ulikuwa unachamba na majani ya mgomba.Mjini lini au bado upo Sanya Juu?
 
War is just when it is necessary; arms are permissible when there is no hope except in arms.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…