Pre GE2025 Mbona Msigwa hana jipya huko CCM? Inaonekana amehama na furushi la dosari za Mbowe tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Nilitegemea Msigwa ajikite ktk kueneza na kutangaza mawazo mapya (ya akili kubwa) ili kuondoa mapungufu ya kiuongozi, kisheria na kisera ndani ya serikali inayoongozwa na ccm. Lkn badala yake tangu ahamie ccm amekuwa akimlaumu Mbowe kila apatapo nafasi ya kuongea kwenye majukwaa.

Manufaa ya ccm kumnunua Msigwa ni kusikiliza kisha kuziishi doasari za Mbowe? Au ni nini dhamira ya ccm kumpa airtime Msigwa ya kuelezea dosari za Mbowe?

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
 
Nilitegemea Msigwa ajikite ktk kueneza na kutangaza mawazo mapya (ya akili kubwa) ili kuondoa mapungufu ya kiuongozi, kisheria na kisera ndani ya serikali inayoongozwa na ccm...
Msanii tu , kwa ccm Mbowe amekua kaa la moto so kila project ya ccm nikumlenga yule Ndugu wenye D mbili ndo wanaweza elewa, ila imekua tamaduni za ccm kuja na figisu kila ukalibiapo uchaguzi, Mbowe chadema bado anahitajika sana na lazima kuwa vile maana ni hitaji la wanachama husika sio ccm, ila unashangaa wanaccm ndo wamekua washauri wazuri kwa mambo ya Chadema
 
Nilitegemea Msigwa ajikite ktk kueneza na kutangaza mawazo mapya (ya akili kubwa) ili kuondoa mapungufu ya kiuongozi, kisheria na kisera ndani ya serikali inayoongozwa na ccm...
Peter Msigwa ni mmoja wa waliohongwa na Abdul ili kuamia CCM, mwingine ni Ezekia Dibogo Wenje list ni kubwa muda mfupi tutaweka kila kitu wazi kama noma na iwe noma.
 
Huyu Wenje afanyiwe timing ya kuondolewa chadema, ili naye abakie na uwendawazimu kama Msigwa.
 
Nilitegemea Msigwa ajikite ktk kueneza na kutangaza mawazo mapya (ya akili kubwa) ili kuondoa mapungufu ya kiuongozi, kisheria na kisera ndani ya serikali inayoongozwa na ccm. Lkn badala yake tangu ahamie ccm amekuwa akimlaumu Mbowe kila apatapo nafasi ya kuongea kwenye majukwaa.

Manufaa ya ccm kumnunua Msigwa ni kusikiliza kisha kuziishi doasari za Mbowe? Au ni nini dhamira ya ccm kumpa airtime Msigwa ya kuelezea dosari za Mbowe?

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Anacheza na beat za CCM, hawa Jamaa ukitaka wakupe mavyeo na madaraka, wewe mseme Vibaya Mbowe na Lisu, siku hizi Mnyika sio Sana!

Ukitaka mkutano wako urushwe TBC na uandikwe kwenye vile vikaratasi vya CCM Uhuru na Ndugu zake basi waambie nina madhaifu ya Mbowe nataka niyamwage hadharani. Mbona watakupa hadi perdiem?

Msigwa now ili aweze ku-survive kuanzia ngazi ya familia na mengine ni LAZIMA amtaje Mbowe, ila hasemi kuwa Msukuma alishasema kuwa Msigwa anatumiwa na CCM na kwamba Msukuma ana taarifa na Meseji zake....hilo hawezi kulisema...
 
Msigwa tushampuuza kitambo tangu Dr Msukuma alivyomuumbua 2023 kwamba walikuwa wanampa fedha maana njaa ilikuwa kali ,malipo aliyokuwa analipwa lengo ni kuja kutumika kwenye serikali za mitaa mwaka huu kwa kujiunga nao.
 
He is so desperate naona hajapata bwana huko wamemtupa anabwata tu. Yeye instead ya kuongea sera zake yupo busy na mbowe jamaa analeta tabia za kianglikana.
 
Nilitegemea Msigwa ajikite ktk kueneza na kutangaza mawazo mapya (ya akili kubwa) ili kuondoa mapungufu ya kiuongozi, kisheria na kisera ndani ya serikali inayoongozwa na ccm. Lkn badala yake tangu ahamie ccm amekuwa akimlaumu Mbowe kila apatapo nafasi ya kuongea kwenye majukwaa.

Manufaa ya ccm kumnunua Msigwa ni kusikiliza kisha kuziishi doasari za Mbowe? Au ni nini dhamira ya ccm kumpa airtime Msigwa ya kuelezea dosari za Mbowe?

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Ndo mapatano ya bei aliyofika kwamba ahakikishe Mbowe anaaibika Kwa bahati mbaya yule Mwamba hatikisiki. Na hamjibu kitu na tumemshauri asimjibu. Kukaa kimya nalo ni jibu la kumjibu mpumbavu.
 
Huyu Wenje afanyiwe timing ya kuondolewa chadema, ili naye abakie na uwendawazimu kama Msigwa.
Kama kafika bei aende akaungane na Msigwa kutia aibu. Badala ya Msigwa kunenepa anazidi kukondeana tu. Yuda aliyemsaliti Yesu mwisho wake ilikuwa kujinyonga kwa aibu na kihoro Kwa kitendo alichotenda. Eti na mkofia wa ssh2025 hana hata aibu. Wanaccm wanavyomuona kama dekio.
 
Ndo mapatano ya bei aliyofika kwamba ahakikishe Mbowe anaaibika Kwa bahati mbaya yule Mwamba hatikisiki. Na hamjibu kitu na tumemshauri asimjibu. Kukaa kimya nalo ni jibu la kumjibu mpumbavu.
Na ushauri mliompa Mbowe wa kutomjibu Msigwa mnastahili tuzo
 
Tamaa mbaya sana
'vyeti hana' apewe nini sasa?
 
Msigwa alikuwa ananyanyuliwa na CHADEMA. Nje ya CHADEMA, Msigwa ni takaraka.
 
Nilitegemea Msigwa ajikite ktk kueneza na kutangaza mawazo mapya (ya akili kubwa) ili kuondoa mapungufu ya kiuongozi, kisheria na kisera ndani ya serikali inayoongozwa na ccm. Lkn badala yake tangu ahamie ccm amekuwa akimlaumu Mbowe kila apatapo nafasi ya kuongea kwenye majukwaa.

Manufaa ya ccm kumnunua Msigwa ni kusikiliza kisha kuziishi doasari za Mbowe? Au ni nini dhamira ya ccm kumpa airtime Msigwa ya kuelezea dosari za Mbowe?

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Kwani ndani ya CHADEMA Kuna tatizo jingine zaidi ya Mbowe?
 
Wananchi hawawezi kuichukia CHADEMA kwa uongo na upuuzi pia na ujinga wa Msigwa. Kama alishuhudia ufidadi na wizi wa Mbowe kwa nini hakuondoka CHADEMA Mpaka aliposhindwa uchaguzi kanda ya Nyasa.

Ufisadi kupitia Dp world, kuuzwa ardhi ya wamasai wa Tanganyika. Utekaji na mauaji?

2025 tutachafua hawa wahuni wa CCM aliowakataa shujaa Magufuli.

Mbowe pisha na uachie Chama. Miaka 34 hujaleta tija yoyote. Achia damu mpya.
 
Msigwa hajahamia ccm na wazo lolote la maana zaidi ya matusi dhidi ya Mbowe. Msigwa ni liability huko ccm
 
Back
Top Bottom