Msanii tu , kwa ccm Mbowe amekua kaa la moto so kila project ya ccm nikumlenga yule Ndugu wenye D mbili ndo wanaweza elewa, ila imekua tamaduni za ccm kuja na figisu kila ukalibiapo uchaguzi, Mbowe chadema bado anahitajika sana na lazima kuwa vile maana ni hitaji la wanachama husika sio ccm, ila unashangaa wanaccm ndo wamekua washauri wazuri kwa mambo ya ChademaNilitegemea Msigwa ajikite ktk kueneza na kutangaza mawazo mapya (ya akili kubwa) ili kuondoa mapungufu ya kiuongozi, kisheria na kisera ndani ya serikali inayoongozwa na ccm...
Peter Msigwa ni mmoja wa waliohongwa na Abdul ili kuamia CCM, mwingine ni Ezekia Dibogo Wenje list ni kubwa muda mfupi tutaweka kila kitu wazi kama noma na iwe noma.Nilitegemea Msigwa ajikite ktk kueneza na kutangaza mawazo mapya (ya akili kubwa) ili kuondoa mapungufu ya kiuongozi, kisheria na kisera ndani ya serikali inayoongozwa na ccm...
Huyu Wenje afanyiwe timing ya kuondolewa chadema, ili naye abakie na uwendawazimu kama Msigwa.Peter Msigwa ni mmoja wa waliohongwa na Abdul ili kuamia CCM, mwingine ni Ezekia Dibogo Wenje list ni kubwa muda mfupi tutaweka kila kitu wazi kama noma na iwe noma.
Anacheza na beat za CCM, hawa Jamaa ukitaka wakupe mavyeo na madaraka, wewe mseme Vibaya Mbowe na Lisu, siku hizi Mnyika sio Sana!Nilitegemea Msigwa ajikite ktk kueneza na kutangaza mawazo mapya (ya akili kubwa) ili kuondoa mapungufu ya kiuongozi, kisheria na kisera ndani ya serikali inayoongozwa na ccm. Lkn badala yake tangu ahamie ccm amekuwa akimlaumu Mbowe kila apatapo nafasi ya kuongea kwenye majukwaa.
Manufaa ya ccm kumnunua Msigwa ni kusikiliza kisha kuziishi doasari za Mbowe? Au ni nini dhamira ya ccm kumpa airtime Msigwa ya kuelezea dosari za Mbowe?
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Ndo mapatano ya bei aliyofika kwamba ahakikishe Mbowe anaaibika Kwa bahati mbaya yule Mwamba hatikisiki. Na hamjibu kitu na tumemshauri asimjibu. Kukaa kimya nalo ni jibu la kumjibu mpumbavu.Nilitegemea Msigwa ajikite ktk kueneza na kutangaza mawazo mapya (ya akili kubwa) ili kuondoa mapungufu ya kiuongozi, kisheria na kisera ndani ya serikali inayoongozwa na ccm. Lkn badala yake tangu ahamie ccm amekuwa akimlaumu Mbowe kila apatapo nafasi ya kuongea kwenye majukwaa.
Manufaa ya ccm kumnunua Msigwa ni kusikiliza kisha kuziishi doasari za Mbowe? Au ni nini dhamira ya ccm kumpa airtime Msigwa ya kuelezea dosari za Mbowe?
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Kama kafika bei aende akaungane na Msigwa kutia aibu. Badala ya Msigwa kunenepa anazidi kukondeana tu. Yuda aliyemsaliti Yesu mwisho wake ilikuwa kujinyonga kwa aibu na kihoro Kwa kitendo alichotenda. Eti na mkofia wa ssh2025 hana hata aibu. Wanaccm wanavyomuona kama dekio.Huyu Wenje afanyiwe timing ya kuondolewa chadema, ili naye abakie na uwendawazimu kama Msigwa.
Na ushauri mliompa Mbowe wa kutomjibu Msigwa mnastahili tuzoNdo mapatano ya bei aliyofika kwamba ahakikishe Mbowe anaaibika Kwa bahati mbaya yule Mwamba hatikisiki. Na hamjibu kitu na tumemshauri asimjibu. Kukaa kimya nalo ni jibu la kumjibu mpumbavu.
Kwani ndani ya CHADEMA Kuna tatizo jingine zaidi ya Mbowe?Nilitegemea Msigwa ajikite ktk kueneza na kutangaza mawazo mapya (ya akili kubwa) ili kuondoa mapungufu ya kiuongozi, kisheria na kisera ndani ya serikali inayoongozwa na ccm. Lkn badala yake tangu ahamie ccm amekuwa akimlaumu Mbowe kila apatapo nafasi ya kuongea kwenye majukwaa.
Manufaa ya ccm kumnunua Msigwa ni kusikiliza kisha kuziishi doasari za Mbowe? Au ni nini dhamira ya ccm kumpa airtime Msigwa ya kuelezea dosari za Mbowe?
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Nilitegemea Msigwa ajikite ktk kueneza na kutangaza mawazo mapya (ya akili kubwa) ili kuondoa mapungufu ya kiuongozi, kisheria na kisera ndani ya serikali inayoongozwa na ccm. Lkn badala yake tangu ahamie ccm amekuwa akimlaumu Mbowe kila apatapo nafasi ya kuongea kwenye majukwaa.