Mbona Mzee wa Komesho(AY) hakumualika Crazy GK kwenye harusi yake?

hao jamaa bado ni marafiki sana tu ata kama kimuziki walitengana.ata kualikwa na huakika Ay lazima tu alimualika .gk alivyo graduate chuo cha tumaini miaka kama mitatu imepita Ay na mwana Fa ,wote walikwenda jumuika nae kumpongeza

Tatizo wabongo ndio wanatengeneza uadui kumbe jamaa bado ni marafiki, kuacha kufanya kazi pamoja haimanishi ndio uadui.
 
Ametumia ule msemo wa BE DIFFERENT tusimpangie cha kuvaa kwani suti hana au hajui zinakopatikana? Ni mtu mzma labda kutokana na mishemishe zake aliona angechelewa kufika akaona mwana asiponiona atamaind ngoja nizame ki GK GK tu mbna Fresh

Hivi kwani kwenye harusi lazima watu wavae suti au ni sisi wabongo ndio tumekalili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…