Mbona Mzee wa Komesho(AY) hakumualika Crazy GK kwenye harusi yake?

Yupo wapi sasa huyo GK? Halafu uwe unapunguza masikhara, maana katika wale vijana kila mtu alikua na style yake na kila mtu alikua anajitungia mashairi ya sehemu yake.
Gwamaka Kalihura a.k.a GK alikua na style yake iliyokua ina ficha na kubalance hali yake ya kigugumizi, pia iliyokua ina akisi mitazamo yake ya kupenda ugomvi na ubabe na matusi mengi. Hata majina aliyojiita yalionyesha ni mtu wa aina gani au aliyependa hali gani au aliyrpenda kuinekanaje. Ndiyo maa akawa anajiita King Crazy GK, Amiri jeshi mkuu, Bokasa etc

Wakati Ambwene Yessaya (AY) yeye alikua hana muda wa kuonya au kuelimisha au kutisha mtu keenye mashairi yake, yeye aliamua kuja na mashairi yanayolenga ku burudisha zaidi. Yeye alipokua akitunga mashairi anafikiria zaidi jinsi watu watakavyo kuwa wana swing na party huko club na ndiyo maana aliamua kuniita Mzee wa Commercial.

Khamis Mwinjuma,a.k.a Mwanafalsa baadaye Mwana Fa, yeye alikuja na style ya mashairi ya kufikirisha zaidi, yenye nasaha, elimu, ya halinya juu ambayo yamengwa fungwa katika mfumo wa lygha unaohitaji kutuliza akili ili kumuelewa. Mashairi hasa ambayo yanahitaji uelewa katika usanifu wa kiswahili. Na mfumo wa utunzi wa kiswahili uliathiriwa na kuwa shaped na tabia yake ya tangu anakua ya kupenda kusoma na kuandika mashairi (Malenga).
Hawa vijana kila mmoja alikua na wapenzi wake ingawa Mwana Fa ndiye alikua na maneno yaliyokaa vichwani mwa watu wa Marika yote ingawa siku zote ilikua ngumu kuumba au kuyakarili mashairi yake zaidi ya kuyafurahia aimbapo alikua na misamiati iliyoishi kwa muda mrefu.
Unaposema GK ndiye alikua na uwezo mkubwa kuliko wengine wote katika lile kundi lao, unakia umenionyesha wewe ni mtu wa aina gani, yaani ni mtu wa kubutua butua, piga mitama, ngado kwa ng'ado, mtaa kwa mtaa, utawachinja kama bokasa, amiri jeshi mkuu umesha lianzisha....yaani mtu wa hivyo
Ukweli huu wanafiki hawataki kuusikia.
 
Hata notorius big hukumpenda sababu ya jina
 
Attachments

  • Screenshot_2018-02-25-09-05-08.png
    Screenshot_2018-02-25-09-05-08.png
    204.8 KB · Views: 54
Mzuqa SIZONJE's slaves!

Kwani crazy GK aliwakosea nini AY na Mwana FA? Walikuaga Benet Sana. Hata kwenye harusi wamemtenga.

Du we Bwana unawakilisha wanajamii F wengi sna. Wanaokuwa negative kwa Mambo ya wengine. Sasa alikuwepo unaonaje ukaomba radhi na kutueleza nini kimekusibu kuwa mtu Wa Majungu Hivi
 
Mzuqa SIZONJE's slaves!

Kwani crazy GK aliwakosea nini AY na Mwana FA? Walikuaga Benet Sana. Hata kwenye harusi wamemtenga.
Picha za. Iyo harusi ??
Well said,Ni GK huyohuyo na ile staili yake ya kurap km DMX ndiye aliye pionia bifu la ECT na TMK though staili ya kurap ya GK ilikua simple sana na ilikua inawakosha wengi,wenye kaliba yake....but frankly speaking Kuondoka kwa FA na AY ilikua pigo kwa GK.
 
hao jamaa bado ni marafiki sana tu ata kama kimuziki walitengana.ata kualikwa na huakika Ay lazima tu alimualika .gk alivyo graduate chuo cha tumaini miaka kama mitatu imepita Ay na mwana Fa ,wote walikwenda jumuika nae kumpongeza
Bac kuna sababu zilizoplkea hasifk
 
Back
Top Bottom