Mbona posta mpya wanawake wote ni warembo?

kiritimba

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2011
Posts
603
Reaction score
88
Yaani sijawahi kuona demu mbaya maeneo ya posta mpya. Ina maana wanawake wabaya wanazuiwa kuingia maeneo hayo, au ni kuwa demu akiingia maeneo hayo anabadilika automatically kuwa mrembo.
 
Duh!! I see!!biashara ni mabango!thus mwibukie moja kama unatest zari kama atakutolea nje!wako kibiashara!ila na wenyenazo
 
Mwanamke anaonekana mzuri kutokana na mazingira ya eneo husika!
Ukionana na mdada maeneo kama m.city anaonekana mrembooo lakini ukikutana naye mwanamke huyo huyo k-koo unampita bila hata kugeuka!!
 
Demu mbaya ndio yukoje?....maake navyojua mimi mbaya kwako ni mzuri kwa mwingine,....anyway-to cut a long story short_mimi ninakutana na hao unaowaita mademu wabaya wengi sana tena labda kuliko hao wazuri....sema kingine sasa
 
hao wabaya umewaumba wewe?
usiviite vibaya viumbe vya Mungu!!!!!!!
ni mbaya kutokana na mtazamo wako!!!!!!!!!!!
 
Men with their perceptions!!!!!!! Dah, hivi tungekuwa tunawajudge nyie mngetuoa kweli, lol. Sidhani
 
Duh!! I see!!biashara ni mabango!thus mwibukie moja kama unatest zari kama atakutolea nje!wako kibiashara!ila na wenyenazo

Aisee kweli, tena wengi wanakuwa wametuna masaburi.
 
Mwanamke anaonekana mzuri kutokana na mazingira ya eneo husika!
Ukionana na mdada maeneo kama m.city anaonekana mrembooo lakini ukikutana naye mwanamke huyo huyo k-koo unampita bila hata kugeuka!!

hapana bwana. mfano hiyo avatar yako hata ukutane nayo white house bado itaonekana mbaya tuuu
 
Demu mbaya ndio yukoje?....maake navyojua mimi mbaya kwako ni mzuri kwa mwingine,....anyway-to cut a long story short_mimi ninakutana na hao unaowaita mademu wabaya wengi sana tena labda kuliko hao wazuri....sema kingine sasa

hamna bana,
wote wako bomba
 
Men with their perceptions!!!!!!! Dah, hivi tungekuwa tunawajudge nyie mngetuoa kweli, lol. Sidhani

mnatujudge sana tuuu.
mwanaume mzuri kwenu ni yule mwenye mapene
 
hamna bana,
wote wako bomba

wote bomba_posta ipi hiyo?....hiyo ya dsm au posta meru ya arusha!.....tafakari na chukua hatua isije kua unaona mikorogo ukadhani.....
 
Mbona mimi niko posta mpya nani mbaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…