Mbona posta mpya wanawake wote ni warembo?

nhm..! sidhani tungekuwa tunawajudge kwa criteria kama zenu aisee, wachache sana kati yenu ndo wangepata wake, lol. By the way How was your weekend?
Hahaha!! My weekend wa great nasubiria mwaliko wa Idd kutoka kwako
 
Nilikuwa nikidhan unaongelea wasafi kumbe wazuri? Umefanya mada iwe ngumu kidogo kwang. Ila uzur na ubaya wa m2 upo kwa m2 mwenyewe. Kwako mzur,kwang mbaya.
 
Mbona mimi niko posta mpya nani mbaya?[/Q

nimemwambia huyu jamaa asihadaike na hizo rangi na nywele za bandia akafikiri ni uzuri,....mwambie uko angle ipi aje akushuhudie halaf atuambie
 
mbona mimi niko posta mpya nani mbaya?[/q

nimemwambia huyu jamaa asihadaike na hizo rangi na nywele za bandia akafikiri ni uzuri,....mwambie uko angle ipi aje akushuhudie halaf atuambie
niko hapa feri nauza juisi ya ukwaju nimevaa kanga ya ccm na kilemba cheupe
 
Yaani sijawahi kuona demu mbaya maeneo ya posta mpya. Ina maana wanawake wabaya wanazuiwa kuingia maeneo hayo, au ni kuwa demu akiingia maeneo hayo anabadilika automatically kuwa mrembo.
Ina maana hii nayo ni thread? unafahamu bei ya server? au kwa sababu unatumia mtandao bure basi ukijisikia kujamba unaanzisha thread? ni kwanini tunaichosha server kwa non sense thread?
 
na usikute wote wanaoamka asubuhi wanadandia usafiri kwenda posta, unadhani wote ni waajiriwa wa maofisini......
wengine ni wajasiriamali.........(KIMWILI ZAIDI),
Usiulize kafuata nini mjini......itakula kwako!!!!!!!
 
Hiyo kusema wapo bomba ni kutokana na kujiremba ama unazungumzia uzuri wa kuzaliwa?
 
Yaani sijawahi kuona demu mbaya maeneo ya posta mpya. Ina maana wanawake wabaya wanazuiwa kuingia maeneo hayo, au ni kuwa demu akiingia maeneo hayo anabadilika automatically kuwa mrembo.

Unaupimaje ubaya na uzuri na mwanamke mzuri ana quality zipi na mbaya nae ana quality vipi
Sidhani kama kuna mtu mbaya maana wewe unayemuona mbaya wa sura wenzio wanakimbizana ni lini watampata na yule unayemuona mzuri kwako wengine wanamuona wa kawaidaaaaa
 
nhm..! sidhani tungekuwa tunawajudge kwa criteria kama zenu aisee, wachache sana kati yenu ndo wangepata wake, lol. By the way How was your weekend?

Kigezo chenu kikubwa ni mapene
 
Ina maana hii nayo ni thread? unafahamu bei ya server? au kwa sababu unatumia mtandao bure basi ukijisikia kujamba unaanzisha thread? ni kwanini tunaichosha server kwa non sense thread?

We unaona ni nini hiki?
Au unafikiria kwa kutumia masaburi.
 
na wewe unahitaji tiba ya masaburi yako

Hii post ndo inakudhihirisha wewe ni nani na una tabia za aina gani, na muda mwingi unakuwa unawaza au kufikiri nini. Am out of here, coz hii thread haina mashiko
 
Ina maana hii nayo ni thread? unafahamu bei ya server? au kwa sababu unatumia mtandao bure basi ukijisikia kujamba unaanzisha thread? ni kwanini tunaichosha server kwa non sense thread?

Duh! Mkuu hiyo signature yako kiboko...
Unafanya hayo yote?
 
Back
Top Bottom