MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,149
- 3,963
Huyu Putin naye sijui Akili zake zimehama au vipi?
Unatangazaje kuyajumuisha majimbo ambayo hauyadhibiti kijeshi kwa 100%. Mpaka Sasa Urusi imeshindwa kuyateka kijeshi kwa 100% majimbo ya Donbas(Luhansk na Dotnesk). Huko Dotnesk Urusi inamiliki 58% ya Jimbo lote na 80% ya Jimbo la Luhansk.
Miji Mkuu wa Zaporhzhzia na Dotnesk (Kramatosk) bado inadhibitiwa na Majeshi ya Ukraine. Mji mkuu wa Jimbo la Luhansk wa Lysychansk na Severodotnesk ndio inadhibitiwa na Urusi TU. Kwanini Putin ameshindwa kusubili Majeshi Yake yateke eneo lote la majimbo hayo Manne?
Maoni yangu
Baada ya ile CounterOffensive ya Majeshi ya Ukraine kuyafurusha Majeshi ya Urusi kwenye Jimbo la Kharkiv,Basi Putin ameona Bora ajitangazie Ushindi Kabla Mambo hayajawa magumu kwa upande wake. Sasa Urusi inataka kutishia Nyuklia Endapo Ukraine itaendelea na CounterOffensive kwenye hayo majimbo.
Kama huu mkwala wa Putin utawaingia Marekani na kuogopa kuipa Silaha Ukraine Basi huu utakuwa Ushindi kwa Putin. Ngoja tusubiri tuone.